PAMOJA NA KURUDI KIKOSINI…ONYANGO AENDELEA KUKUMBUSHA HILI KUHUSU MUSTAKABALI WAKE SIMBA…AITAJA TFF..
Hatimaye Beki kutoka Kenya Joash Onyango Achieng amefunguka sakata lake la kutaka kuvunjiwa mkataba wake Simba SC, na kupelekea taharuki kubwa kwa…
Browse all posts in this category.
Hatimaye Beki kutoka Kenya Joash Onyango Achieng amefunguka sakata lake la kutaka kuvunjiwa mkataba wake Simba SC, na kupelekea taharuki kubwa kwa…
Beki wa Kati wa Klabu ya Simba SC Henock Inonga Baka ametajwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya DR Congo kitakachopambana…
Msemaji wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans Haji Sunday Ramadhan Manara amepunguziwa adhabu ya Faini kutoka Milioni 20 hadi Milioni 10,…
Kocha Mkuu wa Nyasa Big Bullets, Kalisto Pasuwa ameweka wazi kuwa watakuwa kwenye wakati mgumu zaidi katika mchezo wa marudiano dhidi ya…
Kocha mpya wa Azam FC, Denis Lavagne juzi aliiongoza timu hiyo kwenye Ligi Kuu, ugenini dhidi ya Mbeya City, lakini tayari ameshaanza…
Sinema ya winga wa Yanga, Tuisila Kisinda bado inaendelea. Kocha Nabi Mohammed amefunguka kilichotokea na alichofanya lakini Mkurugenzi wa Mashindano wa klabu…
Wekundu wa Msimbazi, Klabu ya Simba SC imeibuka na alama tatu katika mchezo mgumu mbele ya maafande wa Tanzania Prison Jijini Mbeya.…
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Geita Gold FC na Namungo FC Flugence Novatus amempa ushauri Kocha Fred Felix Minziro kuelekea mchezo wa…
Gwiji wa soka la Tanzania, Yanga SC na Taifa Stars Sunday Manara ‘Computer’ alisema wazi kuwa straika wa Yanga, Fiston Mayele ni…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasredden Nabi amesema pamoja na Mashabiki wengi kuamini kikosi chake kilipata matokeo…
Mwakilishi wa Mkandarasi Kampuni ya Mega Woodcraft, Jonathan Kibona ametoa sababu za Kampuni yao kushindwa kuanza ujenzi wa Ukuta katika Uwanja wa…
Baada ya kuziacha alama tatu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya Mabingwa watetezi Young Africans, Mkuu wa Idara ya Habari na…