PAMOJA NA KUCHECHEMEA MSIMU HUU…REKODI YA KAGERE BADO YADAI LIGI KUU…SI MPOLE WALA MAYELE ANAYEIWEZA…
Mastraika wanaoongoza kwa mabao 14 Ligi Kuu Bara, Fiston Mayele wa Yanga na George Mpole wa Geita Gold wana kazi ngumu kuifikia…
Browse all posts in this category.
Mastraika wanaoongoza kwa mabao 14 Ligi Kuu Bara, Fiston Mayele wa Yanga na George Mpole wa Geita Gold wana kazi ngumu kuifikia…
Mastaa 14 ndani ya kikosi cha Yanga, wapo kwenye hesabu za kufyekwa kwa ajili ya kukiboresha kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa…
Imebainika Kuwa kumbe kitendo cha kutimliwa kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ni pamoja na kumuondoa kwake kambini jijini Mwanza,…
Baada tetesi nyingi kuzagaa za kiungo Mrundi, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ kutua Simba, uongozi wa timu hiyo umeibuka na kutamka hauna mpango wa…
Wadau wa soka nchini wamehimiza viongozi wa klabu mbalimbali waache tabia ya kujificha kwenye vivuli vya makocha na kuwabebesha mizigo ya timu…
Simba imemtema Bernard Morrison. Ikatema Kombe la FA. Imemtema Kocha Pablo Franco. Inaelekea kutema ubingwa wa Ligi. Na inakwenda kutema mastaa kibao.…
UONGOZI wa Singida Big Stars imeweka wazi kuwa unatambua ubora wa beki wa Simba, Pascal Wawa ila haina mpango wa kumsajili kwa…
MWAMBA wa Lusaka, Clatous Chama hakutakiwa kusajiliwa ndani ya kikosi cha Simba msimu huu wa 2021/22 na badala yake alitakiwa kusajiliwa mshambuliaji…
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye mpango wa kuinsa saini ya kiungo mshambuliaji wa ASEC Mimosas Aziz Ki ili aweze kuongeza nguvu kwa…
BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji wa Simba amegomea kurudi ndani ya timu hiyo kwa kile kinachoelezwa kuwa kutokuwa na maelewano mazuri na moja…
Tetesi mbali mbali za usajili za wacheza soka kutoka barani Ulaya leo Juni 1, 2022. Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania…
SIMBA inataka kujipanga upya kwa kusajili majembe ya maana, lakini wakati ikitafakari namna ilivyojikwaa hadi kutema mataji yake yote mawili makubwa, imepigwa…