RASMI LIGI KUU BARA KUITWA NBC PREMIER LEAGUE
LEO Oktoba 6 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF) limemtambulisha Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambaye ni beki ya…
Browse all posts in this category.
LEO Oktoba 6 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF) limemtambulisha Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambaye ni beki ya…
WACHEZAJI waandamizi wa Azam, viungo Salum Aboubakar ‘Sure Boy’, Mudathir Yahya na beki Aggrey Morris wamesimamishwa na uongozi wa timu hiyo kwa…
WAKATI kikosi cha Yanga kikielekea Arusha kwa ajili ya kambi ya siku 10, imeelezwa kwamba, kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi,…
NYOTA wa zamani wa Yanga, Metacha Mnata na Saidi Juma Makapu, wameanza vizuri kwenye timu yao ya Polisi Tanzania. Metacha na Makapu…
MUONEKANO Wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano.
KAIMU Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha Mazingisa, amefunguka kuwa anaipongeza Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez kwa kufanikiwa kupata wadhamini…
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Didier Gomes amefunguka kuwa amebaini timu nyingi za ligi kuu huwa zinabadilika kiuchezaji zinapocheza dhidi yao…
CHAMA cha Riadha Tanzania (RT), kwa sasa kinaendelea vizuri na mazoezi kuelekea mashindano ya riadha ya kitaifa yatakayofanyika Arusha, Oktoba 8 na 9, mwaka huu.…
NYOTA wa Yanga Jesus Moloko kwa sasa yupo zake DR Congo pamoja na beki Djuma Shaban ambao wote wameanza kuonyesha makeke yao…
BEKI wa kati wa Simba, Kennedy Juma, ameshonwa nyuzi sita baada ya kupata jeraha kubwa kwenye eneo la jicho kutokana na kuumia…
AMISS Tambwe, mshambuliaji wa timu ya DTB inayoshiriki Championship amesema kuwa ligi hiyo ni ngumu kwa kuwa kila timu inapambana kufanya vizuri.…
BENCHI la ufundi la Azam FC limetamba kuwa kikosi chao kimejipanga vizuri kuhakikisha wanashinda mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Shirikisho…