MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
Browse all posts in this category.
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba Salim Abdallah ‘Try Again’ ameridhia baada ya Mohamed Dewji ‘Mo’ kumkasimisha madaraka…
MAZOEZI ya mwisho ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kabla ya mchezo wa kesho dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo…
USIPANGE kukosa nakala yako ya gazeti la Championi Ijumaa
Mlinzi wa kulia Shomari Kapombe ndiye mchezaji pekee kati ya 23 waliopo kikosini ambaye atakosekana katika mchezo wa pili wa ligi dhidi…
BAADA ya kutofunga bao lolote kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes amemkingia kifua…
KIUNGO kinda wa Azam FC, Khelffin Hamdoun, amefanikiwa kufuzu majaribio katika timu ya vijana ya Liverpool. Hamdoun alienda mjini Liverpool, England mwezi…
NYOTA watatu wa Simba, Joash Onyango, Sadio Kanoute na Jonas Mkude, huenda wakawa sehemu ya kikosi hicho kitakachocheza dhidi ya Dodoma Jiji,…
KAIMU Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga, muda wowote anatarajiwa kutangazwa kuondoka kwenye nafasi hiyo, mara baada ya kukamilisha kipindi cha miezi…
NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amebainisha kuwa ujio wa Cedric Kaze ndani ya kikosi hicho utawaongezea jambo la kipekee katika harakati za…
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Heritier Makambo, amefunguka kuwa baada ya kufanikiwa kuwavua Simba ubingwa wa Ngao ya Jamii, sasa mipango yao ni kuhakikisha…