YANGA YAANZA KUTAKATA SASA CHINI YA NABI
UNAWEZA kusema Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nassredine Nabi, taratibu inaanza kunoga kutokana na timu hiyo kupata muunganiko mzuri hasa kwenye safu ya ushambuliaji ambayo inaongozwa na Heritier Makambo…
Browse all posts in this category.
UNAWEZA kusema Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nassredine Nabi, taratibu inaanza kunoga kutokana na timu hiyo kupata muunganiko mzuri hasa kwenye safu ya ushambuliaji ambayo inaongozwa na Heritier Makambo…
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Kim Poulsen ameridhishwa na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Madagascar katika Uwanja…
UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa hesabu zao kubwa kwa msimu wa 2021/22 ni kusepa na ubingwa wa Ligi Kuu Bara mapema kwa kuwa wana kikosi imara na benchi la ufundi makini.…
NOVEMBA 13, mwaka 2019 kwenye Uwanja wa 30, June pale Cairo nchini Misri, Yanga chini ya kocha Mwinyi Zahera ilishiriki kwa mara…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba hesabu kuwa kwa msimu wa 2021/22 ni kusepa na mataji yote waliyotwaa msimu wa 2020/21 na…
CRISTIANO Ronaldo ingizo jipya ndani ya Manchester United tayari ameanza mazoezi rasmi na timu yake hiyo ya zamani. Ronaldo anarejea ndani…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa mipango ipo sawa na wanaamini kwamba kwenye mashindano ya kimataifa watafanya vizuri. Yanga inayonolewa…
WACHEZAJI wawili wa timu ya taifa ya Argentina ambao wanacheza ndani ya kikosi cha Tottenham Spurs watapigwa faini kwa kosa la kutoroka…
KUELEKEA katika tamasha la Simba Day, linalotarajiwa kufanyika Septemba 19, Uwanja wa Mkapa, uongozi wa timu hiyo umesema kuwa kila kitu kinakwenda…
AZAM FC wazee wa kimyakimya kwa msimu wa 2021/22 sio wanyonge kwenye upande wa uzi mpya nao wanatamba kwa uzi wao ambao…
MZAWA Mbwana Samatta na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, muda mfupi baada ya kumaliza kazi ya kukiongoza kikosi cha Tanzania…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano