NDAYIRAGIJE KOCHA MKUU GEITA GOLD
TIMU ya soka ya Geita Gold ya mkoani Geita iliyopanda daraja kucheza Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao, imemtambulisha aliyekuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Ettiene Ndayiragije kuwa kocha wao…
Browse all posts in this category.
TIMU ya soka ya Geita Gold ya mkoani Geita iliyopanda daraja kucheza Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao, imemtambulisha aliyekuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Ettiene Ndayiragije kuwa kocha wao…
Klabu ya DTB (Diamond Trust Bank) FC itakayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza, imekamilisha usajili wa Mshambuliaji kutoka Burundi Amisi Tambwe. Tambwe amerejea…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
Nahodha wa zamani wa Yanga, Papy Tshishimbi amevutiwa na maisha ya Tanzania na kusema yupo tayari kubadilisha uraia wake ilia pate nafasi…
RASMI sasa Clatous Chama ni mali ya RS Berkane baada ya kuwaaga mashabiki wa Simba na kukubali kuanza changamoto mpya. Nyota huyo…
Rais Samia Suluhu Hassan ameanika mipango ya Serikali kwenye michezo huku akieleza kwamba, wataendelea kutunisha mfuko wa maendeleo ya michezo. “Tumeanza na…
Baadhi ya nyota wa Simba na Yanga leo Agosti 23 wamegongana uwanja wa ndege wa Mohamed V uliopo jijini Casablanca, Morocco na…
KIKOSI cha Biashara United kutokea mkoani Mara, kinaendelea na mazoezi mazito ya kujiandaa na msimu ujao wa 2021/22, huku lengo kuu likiwa…
TANZIA TAARIFA iliyotufikia hivi punde ni kutoka KMC, Coordinator (Mratibu) wa timu hiyo Joshua Julius ametangulia mbele za haki. Kwa mujibu wa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
WAKATI timu ya DTB inayotarajiwa kushiriki Championship (Lidi daraja la kwanza) ikizidi kuboresha kikosi chao aliyekuwa mchezaji wa Simba na Yanga…
NAHODHA wa zamani wa Yanga, Papy Tshishimbi amethibitisha mapenzi yake na Tanzania baada ya kurudi tena kula maisha baada ya kumaliza mkataba…