Home news WACHEZAJI WA SIMBA NA YANGA KURUDI BONGO KWA NDEGE MOJA..SABABU HIZI HAPA

WACHEZAJI WA SIMBA NA YANGA KURUDI BONGO KWA NDEGE MOJA..SABABU HIZI HAPA

0


Baadhi ya nyota wa Simba na Yanga leo Agosti 23 wamegongana uwanja wa  ndege wa Mohamed V uliopo jijini Casablanca, Morocco na wote wanarudi na ndege moja.

Wachezaji hao wengine ni wale ambao wameitwa kutumikia timu za taifa katika mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2022.