KIREKODI NA KITAKWIMU….MANULA ANASUBIRI SANA KWA DIARA…JAMAA ‘LIMECHEZA’ MPAKA KOMBE LA DUNIA…
Djigui Diarra amecheza michuano ya kombe la Dunia Under (20) hadi nusu fainali. Alidaka penati mbili kwenye robo fainali dhidi ya Germany…
Browse all posts in this category.
Djigui Diarra amecheza michuano ya kombe la Dunia Under (20) hadi nusu fainali. Alidaka penati mbili kwenye robo fainali dhidi ya Germany…
YANGA inaamini ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu na baada ya kutimiza hilo, wamepanga kufanya vizuri katika…
MABINGWA Watetezi Simba wameshindwa kutamba ugenini dhidi ya Azam FC baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 mchezo wa Ligi Kuu…
Baada ya mchezo wa juzi dhidi ya Dodoma Jiji ambao Yanga ilishinda mabao 2-0 huku Fiston Mayele akiwa hajaingia wavuni, mwenyewe amewatuliza…
MJUMBE wa Kamati ya Mashindano na Usajili wa Yanga ambaye pia ni Mkurugenzi Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, ameahidi msimu ujao…
MJUMBE wa Kamati ya Mashindano ya Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, anajivunia usajili bora wa kiungo mchezeshaji,…
UNAWEZA kusema mwenendo wa ufungaji wa washambuliaji wa Simba msimu huu, hauwafurahishi wengi ndani ya klabu hiyo, hali iliyomfanya Rais wa Heshima,…
PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema wachezaji wake wa kikosi cha kwanza ambao hawajawa fiti wanavuruga mipango ya timu hiyo kutokana…
BEKI na Nahodha wa Yanga Bakari Mwamnyeto ataendelea kubaki ndani ya klabu hiyo kwa miaka mingine miwili. Mwamnyeto amesaini dili hilo leo…
MAKOCHA wa zamani wa kigeni wa Simba na Yanga wamesema kwamba Bernard Morrison aliyepumzishwa na Simba mpaka mwisho wa msimu ana nafasi…
WAKATI shangwe la pointi tatu za mezani na mabao matatu iliyozawadiwa mchana na kamati ya saa 72 halijaisha, Namungo imevuna ushindi mwingine…
Bao alilofunga Straika George Mpole limemfanya kuongoza katika orodha ya wafungaji Ligi Kuu akimuacha mpinzani wake, nyota wa Yanga Fiston Mayele. Leo…