KISA SIMBA…BANGALA AENDA KWAO CONGO ‘KUJIBUSTI’..NADI AKUNA KICHWA..AFUNGUKA HAYA…
KISWAHILI cha kwenye Gahawa wanasema kaingia chimbo. Mkongomani Yanick Bangala hatacheza mechi dhidi ya Mbeya Kwanza Jumanne ijayo lakini Kocha wake, Nabi…
Browse all posts in this category.
KISWAHILI cha kwenye Gahawa wanasema kaingia chimbo. Mkongomani Yanick Bangala hatacheza mechi dhidi ya Mbeya Kwanza Jumanne ijayo lakini Kocha wake, Nabi…
UFUNDI aliouonyesha Khalid Aucho katika dakika 360 alizocheza,zinampa wakati mgumu, Mkongomani, Tonombe Mukoko kuwa na kazi ya ziada lakini wadau wamesifia ushindani…
Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba na Red Arrows itakayochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Novemba 28 imepelekea kusogezwa…
KOCHA wa Simba, Pablo Franco amesema kwamba kwa aina ya wachezaji aliowakuta Msimbazi mbinu tatu tu zinatosha kumpa mafanikio msimu huu. Amekiri…
WAPINZANI wa Simba katika Kombe la Shirikisho barani Afrika, Klabu ya Red Arrows imeweka wazi kuwa nia yao ya kusonga mbele katika…
KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameweka wazi kuwa wao kama wachezaji wanaendelea kujipanga kuhakikisha wanapata alama tatu kwenye michezo…
Pitia Ukurasa wa Mbele wa Gazeti la Spoti Xtra leo Alkhamis..
Pitia Ukurasa wa Mbele wa Gazeti la Mwanaspoti leo Alkhamis..
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Young Africsns Fredrick Mwakalebela amesema klabu hiyo imetii agizo la kumlipa Kiungo Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka…
Kocha wa Klabu Bingwa Barani Afrika Al Ahly SC Pitso Mosimane amewashukia baadhi ya Waandishi wa Habari wanaopinga mpango wake wa…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Pablo Franco Martin amesema kikosi chake kina wachezaji wenye sifa ya kupambana wakati wote,…
Uongozi wa klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC umetoa taarifa za kukamilisha maandalizio ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika hatua…