BAADA YA KUMALIZANA NA MATAJIRI WAPYA WA LIGI DARAJA LA KWANZA..TSHISHIMBI AFUNGUKA HAYA…
NAHODHA wa zamani wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, amefunguka kuwa anafurahi kurudi Tanzania na kucheza soka kama ilivyokuwa awali.…
Browse all posts in this category.
NAHODHA wa zamani wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, amefunguka kuwa anafurahi kurudi Tanzania na kucheza soka kama ilivyokuwa awali.…
YANGA imeachana na aliyekuwa nyota mpya ndani ya klabu hiyo ambaye alikuwa akisubiri dirisha dogo la usajili kwa ajili ya kusaini mkataba…
UONGOZI wa Yanga baada ya kutangaza kuwa utamkosa mshambuliaji wake Yacouba Songne kwa zaidi ya miezi minne kutokana na majeraha aliyoyapata, mchezaji…
KIUNGO wa Yanga raia wa DR Congo, Mukoko Tonombe, ameahidi kufanya mazoezi mazito ili aweze kupata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza.…
ALIYEKUWA Kocha wa Viungo wa Simba, Mtunisia, Adel Zrane, amefunguka kuwa anaamini kama Simba inahitaji kutetea ubingwa wake msimu huu, basi ni…
ILIKUWA juzi Ijumaa, ndiyo siku ambayo kocha mpya wa Simba raia wa Hispania, Pablo Franco alianza kazi rasmi ya kukinoa kikosi hicho…
KATIKA kuelekea usajili wa dirisha la Januari, mwaka huu wadhamini wa Yanga, Kampuni ya GSM, wamewahakikishia mashabiki wa timu hiyo kufanya usajili…
KOCHA wa Yanga, Nesredine Nabi ameshtukia mtego mbele yake kuelekea mechi ya watani wa jadi, Desemba 11. Kocha huyo baada ya kuangalia…
Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi Leo Jumatatu
Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti Leo Jumatatu.
Kocha Mkuu wa Yanga Nesreddine Nabi amewapa mapumziko ya siku mbili wachezaji wake mara baada ya kurejea katika kambi fupi ya kisiwani…
CHUKUA hii. Simba ndiyo timu pekee kwenye Ligi ya Tanzania yenye Kocha Mhispania aliyewahi kufundisha kwenye Laliga. Ile unayoiona kwenye Kibandaumiza. Kocha…