BAADA YA KUSAINI MKATABA..FRANKO ALETA MAFUNDI WAWILI SIMBA…FASTA AANZA NA POSHO ZA WACHEZAJI..
Tayari inafahamika kwamba kocha mpya wa Simba, Mhispania Pablo Franco Martine amesaini miaka miwili lakini akawatajia mafundi wanne. Amewaambia viongozi anataka kocha…