HII HAPA RATIBA NZITO YA SIMBA KWA MWEZI FEBRUARI
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Simba wana ratiba ngumu ya kucheza michezo sita mikubwa ndani ya mwezi huu…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Simba SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea habari za <strong>Simba SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Simba wana ratiba ngumu ya kucheza michezo sita mikubwa ndani ya mwezi huu…
BAADA ya kikosi cha Simba kutinga makao makuu ya nchi, Dodoma kimepata nafasi ya kuingia ndani ya Bunge la Tanzania. Hawa…
KIKOSI cha Simba kinachonole na Kocha Mkuu, Didier Gomes na msaidizi wake Seleman Matola leo kimewasili salama makao makuu ya nchi Dodoma.…
HATIMAYE Jonas Mkude amerejea kikosini kuungana na wachezaji wenzake baada ya kumaliza kuitumikia adhabu yake kutokana na utovu wa nidhamu. Mkude leo…
UBORA wa kikosi cha Simba hasa baada ya kushusha majembe ya kazi ikiwemo Mzimbabwe Tatenda Perfect Chikwende, na kurudi kwa makali ya,…
KIWANGO bora kilichoonyesha na Simba kwenye michuano ya Simba Super Cup kimezifanya klabu shiriki za michuano hiyo, TP Mazembe na Al Hilal…
KWANZA nianze kwa kuwapongeza Simba kwa mafanikio makubwa waliyoyapata kupitia michuano ya Simba Super Cup, ambayo ilianza kutimua vumbi kuanzia Jumatano iliyopita.…
UONGOZI wa Klabu ya Simba umesema kuwa kesho timu hiyo itapata nafasi ya kuingia bungeni kwa ajili ya kupewa baraka na wawakilishi…
PAMOJA na kamati ya nidhamu ya Simba kutoa tamko la kumtaka Jonas Mkude kuingia kambini mara baada ya kusikiliza na kuamua juu…
BAADA ya jana Januari 31 kufanikiwa kutwaa taji la Kwanza ndani ya 2021, Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Simba wanatarajia kurejea kambini…
LICHA ya kusaini dili la miaka miwili ndani ya Klabu ya Simba inaelezwa kuwa mwamba Perfect Chikwende akili yake ipo Azam FC…
ALIYEWAHI kuwa Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu, anaripotiwa kuishitaki timu hiyo mahakamani. Inadaiwa kuwa, Rweyemanu ambaye aliondolewa Simba mwaka jana baada ya…