KISA KIPIGO CHA JUZI..SAKHO ASHINDWA KUJIZUIA SIMBA..AFICHUA YANAYOENDELEA NDANI..
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Senegal na Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Pape Ousmane Sakho, amefichua siri ya kikao cha Wachezaji wa…
Browse all posts in this category.
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Senegal na Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Pape Ousmane Sakho, amefichua siri ya kikao cha Wachezaji wa…
MAKIPA tofauti wa Ligi Kuu Bara, wamekiri kipa wa Simba, Aishi Manula amewafunika kutokana na kiwango alichoonyesha dhidi ya Asec Memosas ya…
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC wamesema kwa sasa hawafikirii lolote zaidi ya kutafakari namna watakavyopambana na USGN ya Niger katika…
IMEFAHAMIKA kuwa Simba imeanza kumnyemelea beki katili wa kushoto anayekipiga ASEC Mimosas, Wonlo Coulibaly raia wa Ivory Coast. Nyota huyo ambaye alicheza…
Kama ungekuwa unaangalia mechi ya juzi kwa kuvutiwa na kupeleka mipira mbele, ungeweza kusema Simba ilicheza kwa kiwango cha juu dhidi ya…
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC wamerejea Jijini Dar es salaam wakitokea Cotonou-Benin ambako walikabiliwa na mchezo wa ‘Kundi D’ Kombe…
KASI ya Yanga kwenye Ligi Kuu Bara imeshtua mabosi wa Simba na juzi waliamua kuitana na kujifungia kwa muda wa saa kama…
KOCHA mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema yuko tayari kubeba lawama kutokana na matokeo mabovu ambayo wameyavuna katika mchezo wa jana dhidi…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana na Klabu ya Simba SC Bernard Morrison amewataka Mashabiki wa klabu hiyo kuamini timu yao bado ina…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Barbara Gonzalez, amesema Uongozi wa klabu hiyo hauwezi kumlaumu yoyote kufuatia…
UGENINI Simba imepoteza kwa kufungwa mabao 3-0 huku mabao yakipachikwa na Aubin Kramo Kouame dk 16,Stephane Aziz dk 23 na Karim Konate…
WAKATI kocha wa Simba, Pablo Franco akisema wanakwenda kucheza ugenini ili kujihakikisha tiketi ya robo fainali, beki wake wa kulia, Shomary Kapombe…