KAGERE, SAKHO NA KIBU DENIS WAPEWA FUPA LA KUTAFUNA BENIN….KIKOSI KAMILI CHA SIMBA HIKI HAPA…
Medie Kagere amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa tano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigiwa Uwanja wa…
Browse all posts in this category.
Medie Kagere amepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa tano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigiwa Uwanja wa…
SIMBA wametua salama mjini Cotonou, Benin kwa mchezo wao Kombe la Shirikisho Afrika leo dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory Coast, huku…
KUFUATIA bao lake alilofunga dhidi ya RS Berkane kuchagulia kuwa bao bora la wiki la Kombe la Shirikisho Afrika, kiungo mshambuliaji wa…
MAKOCHA wawili wakubwa ndani ya Afrika, Mcongo, Raoul Shungu wa AS Vita na Mnyarwanda, Thiery Hitimana wa KMC aliyewahi kukaimu nafasi ya…
KIKOSI cha Simba mchana wa leo kimekula msosi nchini Benin kikijiandaa kuwavaa Asec Jumapili, huku mashabiki wa Mnyama wakiweka rekodi ya kutazamwa,…
KLABU ya Simba imeonyesha kutotaka utani baada ya kuweka wazi wana mpango wa kufuzu hatua ya robo fainali wakiwa katika ardhi ya…
Beki wa kushoto na Nahodha Msaidizi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, amesema timu yao imedhamiria kufuzu…
Meneja wa Habari na Mawasilino wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally amesema lengo kuu la kikosi chao kuelekea Benin ni kuendeleza…
Kikosi cha Simba SC kimewasili salama mjini Cotonou-Benin, tayari kwa mchezo wa Mzunguko watano wa ‘Kundi D’ Kombe la Shirikisho Barani Afrika…
Tathimini iliyofanywa kwenye akaunti za Mitandao ya kijamii za Shiriskiho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ imebaini kuwa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara…
KAMA unadhani mzimu wa kukosa penalti kwa Simba unaisumbua kwenye mechi za mashindano tu, pole yako kwani hata mazoezini tatizo hilo linaendela…
SIMBA inazidi kupasua anga kimataifa ambapo sasa wanahitaji ushindi katika mechi moja tu kati ya mbili walizobakiza kwenye hatua ya makundi ya…