BAADA YA KUSIKIA SIMBA WANAMTAKA…’STRAIKA’ LA KAZI LAKATAA KUSAINI MKATABA MPYA…
Habari njema kwa mashabiki wa Simba ni kuwa, Mshambuliaji wa Vipers ya Uganda, Cesar Manzoki, amegoma kusaini mkataba aliopatiwa na timu yake,…
Browse all posts in this category.
Habari njema kwa mashabiki wa Simba ni kuwa, Mshambuliaji wa Vipers ya Uganda, Cesar Manzoki, amegoma kusaini mkataba aliopatiwa na timu yake,…
IMEELEZWA kuwa, Simba imepiga hodi TP Mazembe kumfuata mshambuliaji Zemanga Soze kwa ajili ya kufanya naye mazungumzo ya kumsajili. Wapo baadhi ya…
Imefahamika kwamba Simba ipo katika mipango ya kumsajili mshambuliaji wa Vipers SC ya Uganda, Yunus Sentamu, ambaye raia wa Uganda. Simba imepanga…
Mabosin wa Simba wapo sokoni kutafuta nyota wapya watakaowasajili dirisha la usajili litakapofunguliwa ili kuongeza makali ya kikosi hicho msimu ujao kutimiza…
UONGOZI wa Dodoma Jiji FC umesema umefikia katika hatua nzuri ya mazungumzo ya kumbakisha klabuni hapo kiungo wake, Cleophace Mkandala ambaye anawaniwa…
HABARI njema kwa mashabiki wa Simba ni usajili mpya ndani ya timu hiyo ambao kwa kiasi kikubwa dili limekamilika, huku akitajwa kuwa…
IMEELEZWA kuwa Simba imeanza mazungumzo na mshambuliaji wa Orlando Pirates ya nchini Afrika Kusini, Kwame Peprah raia wa Ghana kwa ajili ya…
UNAAMBIWA mwenendo wa majeraha kwa kiungo Taddeo Lwanga raia wa Uganda, umemfanya Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco alazimike kumuongeza mkataba mpya…
Mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Simba, ambaye kwa sasa anaitumikia Mtibwa Sugar, Deo Kanda amesema malengo yake ni kuhakikisha anarejea katika…
Klabu ya Simba ipo katika mazungumzo na beki la kazi raia wa Cameroon, Jean Jospin Engola kwa ajili ya kuimarisha ukuta wa…
SIKU moja baada ya uongozi wa Simba na winga Bernard Morrison kupeana mkono wa kwaheri, Yanga wamemkaribisha mchezaji huyo raia wa Ghana…
JINA la Stephen Aziz Ki, kiungo wa ASEC Mimosas, bado linatembea mitaa ya Kariakoo jijini Dar baada ya timu kongwe za hapa…