BAADA YA KIMYA KIREFU..MOSES PHIRI AIBUA TAKWA JIPYA….AANIKA TIMU ATAKAYOJIUNGA NAYO…
MSHAMBULIAJI wa Zanaco ya Zambia, Moses Phiri ambaye anahusishwa kujiunga na Yanga amesema kuwa anatamani kuona anavaa jezi namba 10 katika timu…
Browse all posts in this category.
MSHAMBULIAJI wa Zanaco ya Zambia, Moses Phiri ambaye anahusishwa kujiunga na Yanga amesema kuwa anatamani kuona anavaa jezi namba 10 katika timu…
Mipango ya Simba kumnasa winga matata kutoka USGN ya Niger, Victoriesn Adebayor, huenda ikaingia mchanga,. Ukweli ni kwamba RS Berkane ya Morocco,…
RASMI sasa kiungo mkabaji wa Coastal Union ya mkoani Tanga, Mnigeria, Victor Akpan, anakuja kuchukua nafasi ya Mganda Taddeo Lwanga katika usajili…
Simba SC na Cape Town City, zimefikia Makubaliano ya kuuziana Beki wa Kati raia wa DRC Congo Nathan Idumba Fasika, Uhamisho wa…
STAA wa USGN anayetakiwa na Simba, Victorien Adebayor amesema hakuna mashabiki duniani waliowahi kumfanyia alichofanyiwa juzi usiku timu yake ilipolala mabao 4-0.…
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Mulamu Nghambi amesema ni vugumu kwa klabu hiyo kumsajili tena Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Msumbiji…
Kocha Mkuu wa USGN Zakariou Ibrahim amesema ikitokea Simba SC imetuma ofa ya kutaka kumsajili Mshambuliaji wake kutoka nchini Niger, Victorien Adebayor…
NIMEKUWA nikitazama majina ya mastaa wa Simba ambao wanamaliza mikataba yao mwishoni mwa msimu. Wengi ni mastaa hasa kikosini na nadhani Simba…
SIMBA inafanya mambo yake kimyakimya. Wameanza mikakati mizito ya kusuka kikosi kipya cha msimu ujao kwa kuangalia eneo moja baada ya jingine.…
MABOSI wa Simba wanahaha kufanya mazungumzo na baadhi ya wachezaji ambao mikataba yao ipo ukingoni, huku Aisha Manula akiwa miongoni mwa…
Ni suala la muda tu. Mwisho wa msimu huu Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni ili kuongeza makali ya kikosi chao kwa…
Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini imeripotiwa kutaka huduma ya beki wa Klabu ya Simba Joash Onyango anayemaliza mkataba wake na…