Uncategorized

Browse all posts in this category.

Uncategorized

DEPU BADO ANA SAFARI NDEFU, PEDRO

KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amefunguka kuhusu mshambuliaji wao Laurindo Dilson Maria Aurélio maarufu kama Depu, akisema licha ya kuonyesha uwezo…

Jan 31, 2026
Uncategorized

NINA DENI KWA WANA SIMBA, KIBABAGE

BEKI wa Simba SC, Nickson Kibabage, amesema ana deni kubwa kwa mashabiki wa klabu hiyo baada ya baadhi ya watu kuubeza usajili…

Jan 31, 2026
Uncategorized

KWA TAARIFA ZAIDI INGIA MERIDIAN SPORT PORTAL

Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa…

Jan 30, 2026
Uncategorized

GUEYE ACHOCHEA VITA DHIDI YA ESPERANCE

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba SC, Libasse Gueye, ametoa wito mzito kwa mashabiki wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi Jumapili katika Uwanja wa…

Jan 30, 2026
Uncategorized

SIMBA YAREJEA KWA KISHINDO, AHMED

KLABU ya Simba  SC imeanza kuonyesha sura ambayo mashabiki wake hawajaiona kwa takribani misimu miwili hadi mitatu iliyopita, hali ambayo uongozi wa…

Jan 30, 2026
Uncategorized

MZIZE KARIBU KURUDI UWANJANI

HABARI njema zimeifikia benchi la ufundi, viongozi pamoja na mashabiki wa Yanga SC baada ya mshambuliaji wao, Clement Mzize, kufikia hatua za…

Jan 30, 2026
Uncategorized

NYOTA WA SIMBA WATUA TRA UNITED

WALIYOKUWA wachezaji wa Simba SC, Chamou Karaboue na Valentino Nouma, wamejiunga rasmi na klabu ya TRA United kwa mikataba ya mkopo ya…

Jan 30, 2026
Uncategorized

YANGA KUSAKA POINT TATU ZA AL AHLY

KIKOSI cha Yanga SC kesho kinashuka dimbani kikitupa karata yake muhimu katika harakati za kusaka alama tatu, wakati kitakapowaalika Al Ahly ya…

Jan 30, 2026