Yanga SC

Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.

Post thumbnail placeholder
Yanga SC

YANGA WAANZA NA SAFU YA ULINZI

  JUMA Mwambusi, Kaimu Kocha wa Yanga amesema kuwa ataanza kuboresha safu ya ulinzi ili isifanye makosa ya kuruhusu mabao kwenye mechi…

Apr 15, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

MWAMBUSI ATANGAZA PANGA, PANGUA YANGA

  ILI kurudisha makali ya kikosi chake, Kaimu kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Juma Mwambusi amesema kuwa anatarajia kufanya mabadiliko makubwa…

Apr 13, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

CABAYE: KADI NYEKUNDU ILIFUTA BAO LA SAIDO

  KIUNGO wa klabu ya soka ya KMC, Abdallah Masoud ‘Cabaye’ amefunguka kuwa alilazimika kumfanyia madhambi kiungo wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’…

Apr 13, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

MWAMBUSI ATAJA KINACHOWAPONZA YANGA, AJA NA SULUHISHO

 BAADA ya kuanza na sare ya bao 1-1, Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema kuwa amegundua tatizo katika kikosi chake ambalo amepanga kulifanyia kazi haraka ili kuhakikisha anapata matokeo mazuri ya ushindi. Yanga…

Apr 13, 2021