SIMBA juzi usiku ilimtambulisha kiungo mshambuliaji Alassane Kante kwa mkataba wa miaka miwili, lakini usichokijua ni nyota huyo kutoka Senegal ameikamua klabu hiyo mkwanja wa maana.
Kante ni mmoja ya nyota wapya waliosajiliwa na Simba kwa ajili ya msimu mpya...
Ikiwa ni Jumamosi ya mwezi wa Agosti huku ligi mbalimbali Duniani zikiwa karibu kuanza, Meridianbet inakupa fursa ya kujipigia pesa za uhakika kwa kubeti mechi za kirafiki. Timu nyingi zitakuwa uwanjani siku ya leo kujiweka sawa. Suka jamvi lako...
Anza mwezi mpya wa August ukiwa na jamvi lako ndani ya Meridianbet, mechi nyingi zipo kwaajili yako sasa hivyo ingia kwenye akaunti yako na uanze kutengeneza mkwanja wa uhakika hapa.
Stade Lavallois MFC atamenyana dhidi ya US Orleans ambao wanatokea...
Katika ulimwengu wa kasino ya mtandaoni, Meridianbet imeendelea kuthibitisha kuwa ni kinara wa ubunifu na burudani ya kiwango cha juu. Safari hii, kampuni hiyo inakuja na kifaa kipya cha ushindi kinachojulikana kama Mystery Multiplier, ofa mpya ambayo inaleta upepo...
KLABU ya Simba imeanza rasmi maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26 kwa kuondoka nchini jana Jumatano kwenda Ismailia, Misri kwa kambi ya wiki nne ikiwa ni sawa na siku 28 ili kunoa makali ya nyota wa kikosi hicho wakiwamo...
SIMBA wameonyesha ukubwa wao kwa mara nyingine. Kuna jambo ambalo wamefanya kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars ambalo limemtibua Kocha Benni McCarthy.
Ni jinsi walivyoufanya kibabe usajili wa mshambuliaji wao mpya, Mohammed Bajaber na kuumaliza kwa...
Yanga juzi ilimtambulisha kocha mpya, Romain Folz kuchukua nafasi ya Miloud Hamdi aliyeondoka katika timu hiyo mara baada ya msimu kumalizika.
Hamdi mmoja wa makocha bora aliyepita Yanga, aliondoka akiwa na heshima baada ya kutwaa makombe matatu katika muda mfupi.
Ujio...
Mwaka 2025 unaendelea kwa kishindo kikubwa kwa watumiaji wa Meridianbet, na hii ni kwa sababu ya ujio wa Spinoleague, shindano la sloti linaloandaliwa kwa ubunifu wa hali ya juu na Meridianbet kwa ushirikiano na kampuni ya michezo ya kasino...
MABOSI wa Simba wapo siriazi na ishu za usajili, sema wenyewe mambo yao wanafanya kimyakimya, wakitaka kuja kuwasapraizi mashabiki wa klabu hiyo mara watakapokuwa wakiwatambulisha kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano kuanzia wiki ijayo.
Inadaiwa kuwa...
KABLA ya kuanza msimu uliopita, Simba chini ya Kocha Fadlu Davids iliwaeleza bayana mashabiki na wapenzi wa klabu wasitarajie maajabu kwa timu hiyo kwa vile wanajenga kikosi.
Kauli hiyo ilitolewa na mabosi wa klabu hiyo akiwamo Ofisa Habari, Ahmed Ally...