Ijumaa imeteuliwa kuwa siku maalum ya kuwaheshimisha na kuwapa furaha wateja wa Meridianbet kwa utumiaji wao uliotukuka kwenye jukwaa namba moja la michezo ya kubashiri nchini Tanzania. Yaani wale wateja walio loyal kwa kampuni ni zamu yao kumbukwa sasa...
Je wikendi yako inaanzaje leo hii na Meridianbet?. Mechi kibao za kirafiki zinaendelea siku ya leo ambapo wewe una nafasi ya kujaza akaunti yako. Tengeneza jamvi lako kwa dau dogo tuuh na ujishindie hapa.
ODDS za kibabe zipo mechi hii...
Ushindi mkubwa upo leo na wakali wa ubashiri Meridianbet, kila timu ina Odds za kukupatia ushindi kabisa. Besiktasi, Shakhtar, wote wapo dimbani kuhakikisha huondoki patupu.
Braga atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya PFC Levski Sofia ambao inakipiga kule Bulgaria. Mwenyeji yeye...
Je, uko tayari kuipa Ijumaa yako sura mpya ya ushindi? Meridianbet imezindua promosheni kabambe inayojulikana kama "Lucky Friday", inayokupa nafasi ya kipekee kunufaika kila mwisho wa wiki.
Kupitia promosheni hii, wachezaji wa michezo ya Lucky 6 na Keno sasa wanaweza...
Jumatano ya leo imeanza vyema kabisa kwenye kituo cha watoto yatima cha Faraja Orphanage Centre kule Mburahati Maziwa baada ya kupokea ujio wa Bittech na KMC ambao walifika kwaajili ya kutoa msaada kwa watoto hao.
Kituo hicho cha Faraja Orphanage...
NDOTO ya mshambuliaji wa Simba SC na Taifa Stars, Kibu Dennis kucheza soka la kulipwa Marekani inakaribia kutimia baada ya klabu ya Nashville kumwongezea wiki ya majaribio kutokana na kile kinachoelezwa ni kivutio kwa makocha wa kikosi hicho.
Kwa mujibu...
WAKATI Azam FC ikimpigia hesabu aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Clatous Chama ikiwa ni pendekezo pia la kocha wa timu hiyo, Florent Ibenge, kikosi hicho kinakabiliwa na ushindani kutoka kwa Zesco United ya Zambia inayomuhitaji.
Nyota huyo aliyezichezea timu mbalimbali...
YANGA inaendelea na marekebisho kadhaa ya kiufundi kwenye kikosi chake kuelekea kwenye maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa.
Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara mara nne mfululizo, inaripotiwa kwamba wataweka kambi ya maandalizi nchini...
MASHABIKI wa Simba bado wamepigwa na butwaa baada ya kuona sehemu ya mastaa waliosajiliwa msimu uliopita na kuiwezesha timu kufika fainali ya Kombe la Shirikisho wakipewa 'Thank You', lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids ametoa kauli moja...
Je unajua kuwa leo ni siku ya kubadilisha mkeka kuwa mkwanja?. Timu kibao leo zitashuka dimbani kusaka nafasi ya kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao huku hii ikiwa ndio mechi ya kwanza. Nani na nani kuanza vizuri?. Tandika...