Ukurasa Mpya Kwa Julio, Afichua Siri Ya Kuondoka Mashujaa
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihweli (Julio), ameweka wazi sababu za kuondoka ndani ya klabu hiyo, akisema uamuzi huo umetokana na kutofautiana kwa…
ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Mashujaa FC, Jamhuri Kihweli (Julio), ameweka wazi sababu za kuondoka ndani ya klabu hiyo, akisema uamuzi huo umetokana na kutofautiana kwa…
KIPA mzawa, Yona Amos, amejiunga rasmi na Singida Black Stars kwa kusaini mkataba wa miaka miwili baada ya kumaliza mkataba wake na Pamba Jiji FC,…
BAADA ya kushindwa kuonyesha kiwango kilichotarajiwa akiwa Simba, mshambuliaji Jonathan Sowah amerejea rasmi kujiunga na klabu yake ya zamani, Singida Black Stars, tayari kuanza ukurasa…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa umewekeza fedha nyingi katika dirisha hili la usajili kwa lengo la kujenga kikosi imara kitakachotetea mafanikio ya msimu uliopita…
Kila mchezaji anatafuta uzoefu unaoweza kuchanganya burudani, msisimko na nafasi ya kupata ushindi mkubwa. Sasa MeridianbetĀ imeleta jibu kupitia mchezo wa kipekee wa Meridian Scatter Whale,…
UONGOZI wa klabu ya Simba SC umefikia makubaliano na kiungo wake, Bajaber, kuhusu hatua inayofuata ya maisha yake ya soka, huku akiruhusiwa kuendelea kuwa sehemu…
UONGOZI wa Simba umeamua kufanya kweli katika harakati za kukijenga kikosi imara kuelekea msimu wa 2026/27, baada ya kufanikiwa kumsajili winga wa Afrika Kusini, Keletso…
UONGOZI wa klabu ya Simba umeweka wazi dhamira yake kuelekea msimu wa 2026/27, ukisisitiza kuwa haitaki kuridhika na mafanikio ya msimu uliopita bali inalenga kurejea…
Leo, Julai 15, saa 22:00 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki, dunia itasimama pumzi pale England na Argentina watakapoingia uwanjani Atlanta Stadium kwa ajili ya…
UONGOZI wa klabu ya Simba umeweka wazi dhamira yake kuelekea msimu wa 2026/27, ukisisitiza kuwa haitaki kuridhika na mafanikio ya msimu uliopita bali inalenga kurejea…