Bahari Ya Burudani Yachafuliwa Na Wild White Whale
Kama kuna mchezo unaoweza kukuweka karibu na msisimko wa kasino, basi Wild White Whale umepewa nguvu nyingine kupitia promosheni mpya ya Meridianbet. Wateja waliosajiliwa sasa wana nafasi ya kufungua mizunguko 50 ya bure baada ya kukamilisha mizunguko 100 kwenye mchezo huu. Ni ofa inayoongeza hatua nyingine katika safari ya mchezaji na kufanya kila mzunguko kuwa sehemu ya burudani inayoendelea.
Tofauti na ofa zinazotegemea ushindi wa awali, hapa matokeo ya mizunguko 100 hayabadilishi zawadi yako. Ukikamilisha mizunguko yote 100, mizunguko 50 ya bure itaongezwa kwenye akaunti yako. Hii ina maana kwamba ushindi au kutopata ushindi kwenye mizunguko ya mwanzo hakukuondolei nafasi ya kupata zawadi hiyo, mradi tu utimize idadi inayotakiwa.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ili kuanza safari, mchezaji anahitaji kuwa na akaunti halali ya Meridianbet na kucheza Wild White Whale kwa kutumia pesa halisi. Baada ya kufikisha mizunguko 100, mfumo utaongeza moja kwa moja mizunguko 50 ya bure. Kumbuka, promosheni hii inatolewa kwa mteja mmoja kwa kila akaunti, hivyo akaunti moja haiwezi kutumika kupata ofa mara nyingi kwa wateja tofauti.
Mizunguko ya bure iliyopatikana kupitia promosheni hii haina masharti ya kucheza tena, hivyo mchezaji anaweza kufurahia ushindi unaotokana nayo kwa mujibu wa masharti ya mchezo. Meridianbet pia inaweza kufanya marekebisho au kusitisha ofa hii wakati wowote bila taarifa ya awali. Ni muhimu hivyo kufuatilia masharti ya promosheni kabla ya kushiriki.
Sasa ni wakati wa kuingia kwenye bahari ya Wild White Whale na kuona mchezo huu una nini. Fungua application ya Meridianbet au tembelea Meridianbet, chagua mchezo na anza kucheza. Mizunguko 100 inaweza kuwa mwanzo tu, kwa sababu nyuma yake kuna mizunguko mingine 50 ya bure