Simba vs Coastal Union: Simba Kusaka Ushindi wa 4 Mfululizo Ligi Kuu
Klabu ya Simba SC kesho Alhamisi inatarajiwa kushuka dimbani kwenye Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo, Mbweni, Dar es Salaam, kuwakabili Coastal Union katika mchezo wa…
Klabu ya Simba SC kesho Alhamisi inatarajiwa kushuka dimbani kwenye Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo, Mbweni, Dar es Salaam, kuwakabili Coastal Union katika mchezo wa…
Goli la mapema la kiungo mshambuliaji Herbert Lukindo limetosha kuipa Namungo FC ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi…
Winga mpya na machachari wa Azam FC, Henock Molia, ameshindwa kuzuia furaha yake baada ya kufungua akaunti ya mabao katika Ligi Kuu ya Tanzania, huku…
Ukimtazama Sofia Ramadhani Hamisi akiwa nje ya ulingo, huenda usiamini kwamba binti huyo ni mmoja wa mabondia wa kike wanaokuja juu kwa kasi katika ndondi…
Wakati watoza shuru wa Bandari Tanzania wakiendelea kujifua vikali kujiandaa na ushindani wa Ligi ya Championship msimu ujao, Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Habibu Kondo,…
Klabu ya Yanga SC imeendelea kuweka rekodi mbaya kwa kipa namba moja wa JKT Tanzania, Ramadhan Chalamanda, baada ya kufanikiwa kumfunga jumla ya mabao 12…
Baada ya kuchezwa kwa dakika 270 za mwanzo kwenye Ligi Kuu Bara 2026, baadhi ya timu zimeanza vibaya kwa kushindwa kuonja ladha ya pointi tatu,…
MANCHESTER, England — Kocha wa Manchester United, Michael Carrick, ameingia kwenye shinikizo kubwa baada ya kuongopea masoko ya ubashiri kuwa kocha aliye hatarini zaidi kutimuliwa…
BAADA ya kukamilisha safari ya dakika 270 ugenini na kuondoka na pointi tatu pekee, Kocha Mkuu wa Mashujaa FC, Aman Josiah, amefungia kazi kikosi chake…
Uongozi wa klabu ya Simba SC umetangaza rasmi mikakati yake kabambe kuelekea mashindano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu, ukisisitiza kuwa lengo kuu…