Home Blog Page 6
Ukitaka kuwa Milionea basi sehemu ni moja tuu, nayo si nyingine bali ni Meridianbet ambapo leo hii wanakwambia hivi labda ushindwe wewe kwani mechi za ushindi zinapigwa leo. LIGUE 1 kule Ufaransa ni ya moto sana leo Stade Rennes atakipiga...
BAO la dakika za jioni lililowekwa kimiani na mshambuliaji aliyetokea benchi, Prince Dube imeiokoa Yanga isife ugenini jijini Lubumbashi, DR Congo baada ya kulazimisha sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji TP Mazembe na kufufua kwa mbali tumaini la kutakati...
Siku ya kubutua na Meridianbet imefika. Wikendi hii usikubali ikupite bila kuondoka na mkwanja wako kwani ligi mbalimbali zinaendelea leo hii. Nafasi ya kushinda ni yako sasa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Italia leo hii SERIE A kama...
YANGA imeendelea na mipango ya kukisuka kikosi kwa ajili ya mechi za michuano mbalimbali inatoshiriki, ikielezwa imerudi kwa kipa wa Pamba Jiji, Yona Amos ili kumnasa kupitia dirisha dogo, huku jina la Abuutwalib Mshery akitajwa ndilo litakalokatwa ili kumpisha...
ALIYEKUWA kipa namba moja wa Simba, Ayoub Lakred ameanza kupaki mizigo kujiandaa kuondoka klabu hapo dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Jumapili hii ili kumpisha winga teleza, Elie Mpanzu. Simba ilishamalizana na Mpanzu siku chache baada ya dirisha kubwa la usajili...
Hakuna mtu asiyejua utamu wa keki, na utamu huo hupatikana kwa kutengenezwa vizuri na kupambwa kwa Ice Cream bomba ili kuivutia keki, utamu huu unaupata tena Meridianbet Kasino Mtandaoni kwa kucheza mchezo wa Cake and Ice Cream. Cake and Ice...
Je unajua kuwa siku ya leo ni siku ambayo unaweza kuibuka na ushindi wa hali ya juu endapo utasuka jamvi lako la ushindi na wakali wa ubashiri Tanzania?. Azam FC, Torino na wengine kibao wapo dimbani. Ligi kuu ya Tanzania...
UONGOZI wa Singida Black Stars upo hatua ya mwisho ya kumalizana na aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga, Miguel Gamondi ili kuchukus mikobs iliyochwa na Patrick Aussems โ€˜Uchebeโ€™. Uchebe alisimamishwa kazi kwa kuvunjiwa mkataba na Singida baada ya matokeo...
Huu hapa mchezo mwingine mzuri kabisa na rahisi kujipigia mkwanja unaposhiriki michezo ya kasino ya mtandaoni, ni mchezo wa Barbary Coast maharamia wenye nguvu wanaopatikana baharini, kazi yao ni kuteka meli zenye mizigo na kujimilisha. Unapokuwa unaucheza mchezo huu wa...
Michuano ya EUROPA leo hii inaendelea ambapo timu kibao zinapigwa katika viwanja mbalimbali huku meridianbet ikikupa nafasi kubwa ya kuondoka na utajiri. Unasubiri nini kupiga mkwanja?. Ingia na ubashiri hapa. Amorim na Manchester United yake baada ya kushinda mechi yake...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS