Mshambuliaji mpya wa Simba, Jonathan Sowah, ataikosa mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga itakayopigwa Septemba 16, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam.
Hii ni baada ya kufungiwa kufuatia kadi nyekundu aliyoonyeshwa kwenye mchezo wa fainali...
MZIKI wa Simba unaosukwa huko Misri, umeibua jambo jipya kutokana na nyota saba kuonekana kufumua kikosi cha kwanza ambacho awali kilikuwa kinampa jeuri Kocha Mkuu, Fadlu Davids.
Fadlu ambaye anaingia msimu wa pili kuinoa Simba, alikuwa na wakati mzuri 2024-2025...
Katika kuendelea kuhakikisha kuwa Meridianbet haikuachi hivi hivi, Jumatatu ya leo wameamua kukupatia ODDS za kibabe kwenye mechi zote za leo. Nani kuondoka na ushindi leo?. Tandika jamvi lako na ushinde sasa.
LALIGA kule Hispania inatarajiwa kuendelea Athletic Bilbao atamenyana...
Meridianbet imekuja na kitu kikubwa, ni LOOT Legends, promosheni ya kibabe inayoendelea hadi tarehe 7 Septemba 2025. Hii sio promosheni ya kawaida, ni nafasi ya kugawana TSH 1.5 Bilioni taslimu kwa wachezaji wote wa sloti. Hakuna longolongo, ni pesa...
ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet siku ya leo, tandika jamvi lako la uhakika leo kwani EPL, SERIE A, LALIGA, na zingine kibao zipo kwaajili yako. Ingia kwenye akaunti yako na utandike jamvi lako sasa.
Ligi kuu...
Meridianbet inawasha moto na Playson Short Races, fursa ya kipekee ya kushiriki katika mbio za kasino mtandaoni zinazokuletea mamilioni ya pesa taslimu kila siku. Hii sio tu mchezo, ni nafasi yako ya kujipiga kifua, kuonyesha uwezo wako kwenye michezo...
HUKO mtaani na katika mitandao ya kijamii kuna kelele nyingi za mashabiki wa soka wakitamani siku ziende haraka ili washuhudie Dabi ya Kariakoo ya kwanza kwa msimu wa 2025-2026.
Ndiyo, Simba iliyomaliza nafasi ya pili Ligi Kuu Bara, italazimika kuvaana...
KOCHA wa Yanga, Romain Folz bado anaendelea kukijenga kikosi cha timu hiyo mdogomdogo na jana asubuhi kilikuwa pale Fukwe za Coco, jijini Dar es Salaam.
Yanga ilikuwa hapo kwa takribani saa mbili ikiwa na mastaa wake wote wakiwemo viungo Moussa...
Ikiwa leo hii ni Ijumaa ya tarehe 22 Agosti, wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wameamua kugusa maisha ya wakazi wa Kijitonyama Kisiwani kwa kuwapelekea msaada wa vyakula, huku hii ikiwa ni namna ya kurejesha kwa jamii.
Msaa wa vyakula ambao...
Mechi za kufuzu Europa League na Conference League zinaendelea leo na zipo nyingi hivyo kazi ni kwako kuchagua nani atakupa pesa kibao. Tandika jamvi lako siku ya leo mechi uzitakazo na uibuke bingwa hapa.
AEK Athens yeye atasafari kuchuana vikali...