CHUKUA CHAKO MAPEMA LEO…ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…
Kama kawaida leo hii ni siku ya kutusua na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo leo hii odds za kijanja zinapatikana hapa. Suka jamvi lako...
KUELEKEA MECHI YA FAINAL YA CAF J/PILI HII….CHE MALONE ‘AJIPA UMUHIMU’ SIMBA….
BEKI wa kati wa Simba SC, Che Malone Fondoh, ameweka bayana dhamira ya kikosi chao kubadilisha matokeo ya mchezo wa kwanza dhidi ya RS...
SIMBA:- UBINGWA WETU CAF TUNAMPA RASI MWINYI…..
KATIKA hekaheka za maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, klabu ya Simba imedhihirisha dhamira yake ya dhati kuhakikisha...
MAKOCHA WALIOFUNGWA NA RS BERKANE WAITONYA SIMBA….FADLU ASHINDWE MWENYEWE TU….
SIMBA ina deni la mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane lililotokana na kupoteza mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyochezwa...
MSHAHARA WA AZIZ KI HUKO WYDAD NI KUFURU NA NUSU….JAMAA ANAlIPWA KIULAYA ULAYA…
DILI la kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI, kwenda Wydad Casablanca ya Morocco, limezidi kuutunisha mfuko wake kutokana na kile ambacho atakuwa akilipwa...
GATES OF OLYMPIA – MLANGO WA USHINDI UMESHAFUNGULIWA…
Jukwaa la mabingwa wa michezo ya kubahatisha Tanzania, linakuletea mchezo mpya wa kisasa na wa kuvutia: GATES OF OLYMPIA. Ukiwa umejengwa kwa hadithi ya...
LIGI IKIELEKEA KUISHA…MASTAA HAWA SIMBA , YANGA MGUU NDANI MGUU NJE….
LIGI Kuu Bara ipo ukingoni kwa sasa ikiwa imesaliwa na mechi za raundi tatu kabla ya msimu kufikia tamati Juni 22, huku mbio za...
TANDIKA JAMVI LA USHINDI NA MERIDIANBET LEO….
Siku ya kupiga mzigo wa maana iemefika. Odds kibao na machaguo zaidi ya 1000 zinapatikana leo. Weka jamvi lako na ubashiri hapa.
SUPER LEAGUE pale...
MERIDIANBET YAZINDUA GATES OF OLIMPIA – SLOTI YA KISAYANSI YENYE USHINDI WA KIHISTORIA.
Katika jitihada zake za kuendelea kuleta burudani bunifu na yenye viwango vya kimataifa, Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse Studios, imetambulisha rasmi mchezo mpya wa...
MERIDIANBET YALETA FARAJA NA MSAADA MAKUMBUSHO NA MWANANYAMALA KWA FAMILIA ZENYE HIBA
Katika hatua nyingine ya kuonyesha moyo wa kusaidia jamii, Meridianbet imefika maeneo ya Makumbusho na Mwananyamala kwa ziara ya kurudisha kwa jamii, kwa lengo...