AFRIKA KUSINI USO KWA USO NA TAIFA STAR….NGOMA KUCHEZWA UGENINI…
Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania βTaifa Starsβ itacheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Afrika Kusini βBafana Bafanaβ, Juni 6, mwaka...
WAKATI DR MWINYI AKIHAIDI MIL 260….HAYA HAPA MAMBO 5 YA KUIBEBA SIMBA KESHO…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametembelea kambi ya timu na kupata nafasi ya kuongea na wachezaji...
KAPOMBE:- TUTAKACHOWAFANYA HAWATAAMINI KAMA WAKO KWA MKAPA πππ….
SIMBA ina mafaza wawili tu kwasasa na wote wapo kikosi cha kwanza. Shomari Kapombe na Mohammed Tshabalala.
Wamepigwa mishale mingi lakini bado wapo imara ndani...
BAADA YA AZIZ KI KUBEBWA NA WAARABU….PACOME AJIANDAE KWA HAYA NDANI YA YANGA….
KUONDOKA kwa Stephane Azizi Ki Yanga kumeibua jambo kwa staa wa timu hiyo, Pacome Zouzoua.
Azizi Ki ameuzwa kwenda Wydad Casablanca ya Morocco na tayari...
ODDS KUBWA ZA KUKUPATIA MSHIKO ZIPO MERIDIANBET…
Mechi za ushindi zinakusubiri wewe pekee, Laliga, Serie A, na zingine zinaendelea ambapo nafasi ya kuibuka mshindi unayo leo. Tengeneza jamv lako na ufurahie...
MERIDIANBET YAPIGA HATUA KUBWA KATIKA ULINZI WA MAZINGIRA
Kampuni inayozingatia jamii na mazingira yazidi kujidhihirisha kama kiongozi wa kweli wa uwajibikaji wa kijamii barani Afrika na Ulaya
Katika dunia inayokumbwa na changamoto nyingi...
CHUKUA CHAKO MAPEMA LEO…ODDS ZA USHINDI HIZI HAPA…
Kama kawaida leo hii ni siku ya kutusua na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo leo hii odds za kijanja zinapatikana hapa. Suka jamvi lako...
KUELEKEA MECHI YA FAINAL YA CAF J/PILI HII….CHE MALONE ‘AJIPA UMUHIMU’ SIMBA….
BEKI wa kati wa Simba SC, Che Malone Fondoh, ameweka bayana dhamira ya kikosi chao kubadilisha matokeo ya mchezo wa kwanza dhidi ya RS...
SIMBA:- UBINGWA WETU CAF TUNAMPA RASI MWINYI…..
KATIKA hekaheka za maandalizi kuelekea mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, klabu ya Simba imedhihirisha dhamira yake ya dhati kuhakikisha...
MAKOCHA WALIOFUNGWA NA RS BERKANE WAITONYA SIMBA….FADLU ASHINDWE MWENYEWE TU….
SIMBA ina deni la mabao 2-0 dhidi ya RS Berkane lililotokana na kupoteza mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika iliyochezwa...