TAARIFA KAMILI YA PROMOSHENI – GATES OF OLIMPIA SASA NDANI YA MERIDIANBET..
Ingia kwenye Dunia ya Miungu, Ushindi, na Mamilioni Kupitia GATES OF OLIMPIA – Mchezo Mpya Kutoka Expanse Studios!
Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse Studios, inakuletea...
BETI MECHI YA FAINALI REAL BETIS VS CHELSEA NA MERIDINBET LEO….
Moto kuwaka vikali leo kwenye fainali ya nguvu kabisa ambayo itawakutanisha Real Betis dhidi ya Chelsea. Kila timu inataka ushindi kwa hali na mali...
KUMBE SIO UBINGWA TU…..KOCHA BERKANE KAONDOKA NA JINA LA STAA HUYU WA SIMBA….
KOCHA wa RS Berkane, Moine Chaabani, amekiri pamoja na timu anayoinoa kubeba ubingwa wa tatu wa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuzidi akili...
RASMII…DIARA AANZA KUWATIA TUMBO JOTO YANGA….MABOSI WAGAWANYIKA…ANATAKA KUSEPA..
VIUNGA vya Jangwani mambo yanaonekana kana kwamba yamepoa, kikosi cha Yanga kikiwa mawindoni katika viwanja vya mazoezi kujiwinda na michezo iliyobaki kumalizia msimu huu...
BENCHIKA AFICHUA UZEMBE WA SIMBA KUMKOSA CAMARA NA KUMLETA BABACAR SARR….
HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa Wanasimba ambao juzi waliishuhudia timu yao ikivaana na RS Berkane ya Morocco katika pambano la marudiano ya fainali...
ALICHOKISEMA FADLU BAADA YA SIMBA ‘KUNYONGWA CAF’ JUZI….
SIMBA imeumia. Mashabiki wamebeba majonzi. Viongozi wamesalia na maswali. Lakini katikati ya huzuni hii nzito, moto mpya unawashwa Msimbazi. Moto wa mageuzi. Moto wa...
KISA AZIZ KI KUSEPA YANGA …HUKO SIMBA WATU NI TABASAMU MPAKA JINO LA MWISHO😅….
KITENDO cha Aziz KI kukubali dili la kutua Wydad, atakuwa anaweka kwenye waleti mshahara wa Sh72.3 milioni kwa mwezi. Ni mara mbili ya aliokuwa...
BAADA YA MAMBO YA CAF KUISHA….VITA IKO KWA AHOUA, DUBE NA MZIZE….DUA YA WOTE...
USHINDANI wa mastaa kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu umezidi kukolea na kusababisha mambo kuzidi kunoga. Lakini kuna kuna linakwenda kutokea kati ya wachezaji...
GATES OF OLYMPUS SASA NDANI YA MERIDIANBET!…
Karibu kwenye Ulimwengu wa Miungu - Ushindi ni wa Wenye Ujasiri!
Unasubiri nini? Zeus mwenyewe anakuita! Mchezo mpya wa Gates of Olympus sasa unapatikana ndani...
NANI KUKUPATIA MKWANJA WA MAANA LEO….
Leo ndio leo asemaye kesho muongo, mbivu na mbichi zinaenda kujulikana ambapo zile ligi 3 bora kati ya 5 Duniani zinaenda kumalizika leo. Timu...