KUELEKEA MECHI YAO NA YANGA LEO…MASTAA SIMBA WAVUNJA UKIMYA…WAFUNGUKA HALI ILIVYO KWENYE TIMU…
Baada ya uongozi wa Simba kufanya kikao cha ndani kwenye kambi ya timu jijini Mwanza siku tatu kabla ya mchezo wa nusu fainali Kombe...
PAMOJA NA KUSAJILIWA KWA MATARAJIO MAKUBWA…AJIBU MAJI YA SHINGO AZAM FC….APIGWA CHINI MAZIMA…
Msafara wa wachezaji 23 wa Azam FC umeondoka Jijini Dar es salaam kwenda Arusha tayari kwa mchezo wa Nusu Fainali ya Pili Kombe la...
PAMOJA NA KUWA NA MSIMU M’BOVU….MASHABIKI MAN UTD WAONYESHA UBABE…WANUNUA TIKETI ZOTE …..
Ama kweli, mkubwa ni mkubwa. Licha ya kuwa na msimu mbovu 2021/22, Manchester United imeshauza tiketi zote za msimu ujao, 2022/23.Old Trafford ni uwanja...
YANGA MAFIA SANA AISEE…NTIBAZONKIZA NDIO BASI TENA JAGWANI…ASEPA JUMLA JUMLA NA KILA KITU CHAKE…
Klabu ya wamepania kwa namna yoyote ile kushinda mechi ya leo Jumamosi dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza na hawataki...
KWA MARA YA KWANZA NABI AFUNGUKA ISHU YA KUWATIMUA SAIDO NA AMBUNDO….KASEKE AKOLEZA NDIMU…
Hatimaye Kocha Mkuu wa Yanga, Nasredine Nabi amefunguka kuhusu sakata la kuwatimua kambini mastaa wake Saido Ntibazonkiza na Dickson Ambundo huku akijitetea kuwa alichukua...
KISA KUTOKUONDOKA NCHINI KAMA ALIVYOOMBA…KIGOGO SIMBA AMLIPUA MORRISON….ADAI SIMU HAPOKEI…AITAJA YANGA..
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC Murtaza Mangungu amemshangaa Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison, kwa kushindwa kutimiza miadi waliyowekeana, baada ya klabu...
MASAA KADHAA KABLA YA KUIVAA YANGA…PABLO ‘AWASUSIA WACHEZAJI MECHI’…AFICHUA ALICHOWAELEZA..
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ Simba SC, Pablo Franco amekiri kuwa wapinzani wao, Young Africans wataingia kwenye mchezo...
BAADA YA KUONA SIMBA WAKO ‘SIRIAZI SANA’ ….NABI KAGUNA , KISHA AKAFUNGUKA HAYA MAPYA…KAANZA...
Benchi la Ufundi la Young Africans limekiri kuwa mchezo dhidi ya Simba SC hautakua rahisi kama inavyochukuliwa na Mashabiki wa klabu hiyo ambao msimu...
MECHI YA LEO NA JEURI YA PESA…YANGA WAWEKA NUSU BILIONI …SIMBA WAJIBU WAPIGO KIBABE..PABLO...
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumamosi.
NDOTO ZA MORRISON KWA GHANA ZAZIDI KUPOTEA…AWEKWA KANDO MAZIMA…HAWANA HABARI NAYE KABISA YANI…
Licha ya mara kadhaa kulalamikia kutoteuliwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Ghana 'Black Star', mshambuliaji Bernard Morrison ameendelea kufungiwa vioo na benchi...