Trending Stories
View All
RASMI KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AL AHLY YA MISRI KWA MKAPA
RASMI Kikosi cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Al Ahly, Uwanja wa Mkapa
PICHA YA SENZO MBATHA AKIWA NA KOCHA WA AL AHLY YAZUA GUMZO
USIKU wa kuamkia leo picha ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba,(CEO), Senzo Mbatha akiwa na Kocha Mkuu wa…
SIMBA YATAMBA KUANZA KUIMALIZA AL AHLY BONGO
MFUNGAJI wa bao pekee la mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita, Mkongomani Chris Mugalu, amewaondoa…
MANCHESTER UNITED MACHO YOTE KWA FATI
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Manchester United imemtengea pauni milioni 130 nyota wa Barcelona Ansu Fati ili kupata saini yake baada…
LUIS, LWANGA,CHAMA MIKONONI MWA AL AHLY, KOCHA AWATAJA
KOCHA Mkuu wa Al Ahly ya Misri amesema kuwa anawatambua vema wapinzani wake Simba kwa kuwa amewafuatilia kwa muda mrefu…
KMC YAANZA MAANDALIZI FA NA LIGI KUU BARA
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa kwa sasa umeanza maandalizi kwa ajili ya mechi zao za Kombe la Shirikisho pamoja…
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA AL AHLY KWA MKAPA
LEO Februari 23 kikosi cha Simba kitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Al Ahly kwenye mchezo…
MOURINHO:KLABU INA MATATIZO, MBINU NI BORA
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham Spurs amesema kuwa anadhani timu hiyo ina matatizo na kusifu mbinu zake kuwa ni…
SIMBA YAPEWA MBINU KUIMALIZA AL AHLY, WACHEZAJI WAONYWA
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United, amesema kikosi cha Simba kina uwezo wa kupata matokeo chanya mbele ya Al Ahly…
AZAM FC WATAJA SABABU YA KUGAWANA POINTI MOJAMOJA NA TANZANIA PRISONS
VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa ilikuwa ngumu kupata matokeo mbele ya Tanzania Prisons…
MUANGOLA WA YANGA AWEKA REKODI YAKE KWA MKAPA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos, raia wa Angola, amehusika katika mabao matano katika michezo 6 pekee aliyoicheza Yanga katika…
MASHINE HII YA KAZI YAREJESHA TABASAMU KWA GOMES KUWAMALIZA WAARABU
KUREJEA kwa nyota wake sita ambao walikuwa nje ya kikosi cha Simba wakiongozwa na chaguo namba moja kwa Kocha Mkuu,…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumanne
NAHODHA WA AL AHLY ATUMA UJUMBE SIMBA
NAHODHA wa Al Ahly, Aiman Ashraf amesema kuwa wamekuja Dar kwa ajili ya kupata ushindi mbele ya wapinzani wao…
TONOMBE MUKOKO YUPO FITI KWA AJILI YA MECHI ZIJAZO
UONGOZI wa Yanga umewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuhusu hali ya kiungo wao, Mukoko Tonombe raia wa Congo. Februari…
TAMBWE:BADO SIJALIPWA BADO NA YANGA
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amefunguka kuwa Yanga bado hawajamlipa fedha zake anazodai Sh milioni 42 licha…