Trending Stories
View All
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA NAMUNGO FC UWANJA WA MKAPA
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Novemba 22 mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC, Uwanja wa Mkapa, saa…
HARMONIZE AVUNJA REKODI YA KIBA NA MONDI
STAA wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’, amevunja rekodi ya msanii mwenzake, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ aliyoiweka miaka…
BREAKING:MECHI ZA SIMBA ZAWAPA ADHABU MWADUI NA KAGERA SUGAR
TAARIFA kutoka Bodi ya Ligi Leo Novemba 22, Kocha Mkuu wa Mwadui FC Khalid Adam amefunguwa kuiongoza timu yake…
DANSI IMEPOTEAJE KWENYE ARDHI YA BONGO, ZILE SHOO KUBWA HAKUNA TENA
SUMU gani iliyoua dansi la Bongo? Hivyo ndivyo unaweza kujiuliza ukikumbuka miaka kadhaa iliyopita mashabiki wa burudani walivyokuwa hawaambiwi kitu…
NYOTA SIMBA AUKUMBUKA MPIRA
NYOTA wa zamani wa Klabu ya Simba, Mohamed Rashid ambaye kwa sasa maisha yake ya soka yapo ndani ya Klabu…
KAZE APATA HOFU KUIKABILI NAMUNGO KWA MKAPA
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa anatambua ubora wa wapinzani wake Namungo ambao atakutana nao leo Novemba 22,…
KUMBE, HAKUKUWA NA MAELEWAMO MAZURI KATI YA KOCHA ALIYEFUTWA KAZI NA MABOSI WA NAMUNGO
BAADA ya Hitimana Thiery, aliyekuwa kocha mkuu wa Namungo kufutwa kazi Novemba Novemba 18 na mikoba yake kuchukua Hemed Morocco…
SPURS YAFANYA KWELI MBELE YA MANCHESTER CITY
IKIWA ametoka kusaini dili jipya la kuinoa timu ya Manchester City kwa miaka miwili, Pep Guardiola ameanza na kichapo…
VITA YA LIVERPOOL YENYE LUNDO LA MAJERAHA V LEICESTER CITY YAMOTO
LEO Liverpool ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England Uwanja wa…
NYUMA YA JONAS MKUDE KUKOSEKANA KIKOSINI SABABU NI UTOVU WA NIDHAMU
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa sababu kubwa iliyofanya kiungo wake namba moja ndani ya Simba, Jonas…
CHELSEA WAKIWASHA LIGI KUU ENGLAND
NEWCASTLE United ikiwa Uwanja wa St James Park ilikubali kuyeyusha pointi tatu mazima baada ya kukubali kichapo cha mabao…
COASTAL UNION YATAJA SABABU YA KUFUNGWA MABAO 7-0 NA SIMBA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa hawezi kubadilisha matokeo aliyoyapata kwa timu yake kufungwa mabao 7-0 dhidi…
MSOME BENZEMA MFALME WA REAL MADRID
KATI ya wachezaji mahiri zaidi kwenye Ligi Kuu ya Hispania, La Liga yupo mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema. Madrid imekuwa na wachezaji wengi sana…
BOSI SIMBA AWACHOKONOA KIMTINDO YANGA
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’, ni kama amepiga kijembe kwa watani wao wa…
DILI LA FEI TOTO KUIBUKIA TP MAZEMBE LASHIKA KASI, DAU LATAJWA
DILI la kujiunga na TP Mazembe ya DR Congo, la kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ limenoga zaidi huko Yanga,…
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO HII HAPA
NOVEMBA 22, leo Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa 11 kwa timu nne kushuka uwanjani kusaka…