Trending Stories
View All
KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KMC, UWANJA WA UHURU
KIKOSI cha Azam FC kitakachoanza leo dhidi ya KMC Uwanja wa Uhuru mchezo wa Ligi Kuu Bara
VPL: COASTAL UNION 0-5 SIMBA
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Novemba 21 Coastal Union 0-5 Simba Zinaongezwa 2 Dakika ya 45 Morrison anapiga faulo haizai…
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA COASTAL UNION, ERASTO NYONI NDANI
Kikosi cha Simba kitakachoanza leo Novemba 21 dhidi ya Coastal Union ya Tanga mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja…
JEMBE JIPYA LA YANGA, MTAMBO WA KUTUPIA LAFANYIWA DUA
INAELEZWA kuwa baadhi ya mashabiki wa soka Burundi wamepanga kumuaga kwa dua staa wa nchi hiyo Said Ntibazonkiza wakati akiwa…
NYOTA WA SIMBA AONDOLEWA KWENYE KIKOSI NA FAMILIA
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroek, amesema beki wa timu hiyo, Gadiel Michael amepata matatizo ya kifamilia jambo ambalo linamfanya…
ISCO ATAKA KUSEPA NDANI YA REAL MADRID
FRANCISCO Roman Alarcon Suarez maarufu kama Isco, kiungo wa Klabu ya Real Madrid imeripotiwa kwamba anahitaji kuondoka ndani ya timu…
HAALAD AWAFUNIKA SANCHO, ANSU, FODEN
ERLING Haaland amemshinda mchezaji mwenzake ndani ya Klabu ya Borusia Dortmund, Jadon Sancho kwenye tuzo ya Golden Boy baada ya…
YANGA YATAJA MITAMBO YA USHINDI DHIDI YA NAMUNGO
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa viungo wake kwa sasa wameshikilia ushindi kwenye mechi zake zote atakazoingia…
BERNARD MORRISON, CHAMA WATUMIWA UJUMBE NA WAGOSI WA KAYA
BEKI tegemeo ndani ya kikosi cha Coastal Union, Hance Masoud, amesema kuwa hawana hofu na mchezo wao wa leo…
KIGWANGALLA AOMBA YAISHE KWA MO
Anaandika Hamisi Kigwangalla NILIKUTANISHWA na Mohammed Dewji na baba yake, Mzee GMD. Kipindi hicho tuki-supply MeTL marobota ya pamba…
LIGI KUU BARA LEO RATIBA
LEO Novemba 21, Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kwa michezo minne kupigwa Kwenye viwanja vinne tofauti. Mambo yapo namna…
WAWILI WA SIMBA KUIKOSA COASTAL UNION LEO
MEDDIE Kagere na Luis Miquissone wawili hawa wanatarajiwa kukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union utakaochezwa…
YANGA HAWAPOI, WAWAJIBU WAPINZANI WAO SIMBA
KLABU ya Yanga imewajibu watani wao Simba baada ya kuhamishia ofisi zake Mtaa wa Samora Avenue, Posta jijini Dar es…
AZAM MEDIA YABORESHA HUDUMA,YAZINDUA KISIMBUSI CHA DIGITAL
KAMPUNI ya Azam Media imefanya maboresho makubwa kwa wateja wake wote nchini na nchi jirani sambamba na kutambulisha Visimbuzi vya…
SIMBA WATUA KWA BEKI WA KIMATAIFA,TONOMBE, CARLINHOS WALISHWA KIAPO,NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
RUVU SHOOTING WAMOTO WAKIWA UHURU, WAICHEZESHA PIRA GWARIDE MBEYA CITY
ABDULHAMN Mussa, nyota wa Klabu ya Ruvu Shooting leo amekuwa shujaa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru…