Trending Stories
View All
STARS IKIFANYA HAYA LEO INASHINDA MBELE YA TUNISIA
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeendelea na maandalizi ya kujiwinda na mchezo wa marudiano dhidi ya Tunisia unaotarajiwa…
LIVERPOOL INA MATUMAINI YA KUWATUMIA NYOTA WAKE WAWILI DHIDI YA LEICESTER
LIVERPOOL ina matumaini ya kumtumia nahodha wao Jordan Henderson pamoja na Andy Robertson kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu England…
SIMBA WAMFUATA NTIBAZOKIZA,FARID AGOMEA JEZI YAKE NI NDANI YA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la SPOTI XTRA Jumanne
MANCHESTER UNITED WAHOFIA TABIA YA MASON, MASHABIKI WAMTAJA MORRISON
TIMU ya Manchester United imepata hofu kuhusiana na tabia ya kinda wao Mason Greenwood kuonekana kupenda kujirusha kuliko kupumzika.…
MSHAMBULIAJI SIMBA AAHIDI KUFUNGA MABAO MENGI AKIPEWA NAFASI NA SVEN
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Simba, Charlse Ilanfya amesema kuwa ikiwa Kocha Mkuu wa timu, Sven Vandenbroeck atampa nafasi ya kuanza…
YANGA YAUTAKA UBINGWA ULIOPO MIKONONI MWA SIMBA
KIUNGO mzawa Feisal Salum, ameweka bayana kuwa wamekubaliana kupambana msimu wa 2020/21 kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Yanga…
KESHO NDANI YA SPOTI XTRA JUMANNE, USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO
USIPANGE kukosa nakala yako ya kesho Gazeti la SPOTI XTRA Jumanne ni jero tu litakuwa mtaani kwa mara ya…
DUBE AFANYA YAKE ZIMBABWE
PRINCE Dube, raia wa Zimbabwe leo amefunga bao la kusawazisha kwa timu yake ya Taifa wakati ikilazimisha sare ya kufungana…
SIMBA YATOSHANA NGUVU NA AFRICAN SPORTS
KIKOSI cha Simba leo kimalazimisha sare ya bila kufungana na timu ya African Sports kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja…
SIMBA YANASA FAILI LA WAPINZANI WAO KIMATAIFA, MKAKATI WAO UPO HIVI
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, ameweka wazi kuwa kwenye hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika wanatakiwa kujiandaa kwa makini…
MASHABIKI WAITWA UWANJA WA MKAPA KESHO KUISAPOTI STARS SAA 4 USIKU
MJUMBE wa Kamati ya Ushindi wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Haji Manara amesema kuwa linapofika suala la…
VITA YA TATU BORA NDANI YA BONGO NI MOTO
NGOMA inazidi kupigwa kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara ambapo vita ya kuwania ubingwa imeanza kukolea kwa timu…
SERGIO RAMOS AWEKA REKODI YAKE TIMU YA TAIFA
SERGIO Ramos, nyota ndani ya Klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Hispania ameandika rekodi yake ya…
WAWA KABLA YA MECHI LAZIMA AANZE NA MUNGU, KING KIBA NA MONDI AWATAJA
PASCAL Wawa, beki wa Simba amesema kuwa kabla ya mchezo wowote ule kuanza yeye hupenda kusali pamoja na kuskiliza muziki…
RAHEEM STERLING ANAWEZA KUCHEZA DHIDI YA TOTTENHAM
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Manchester City, Raheem Sterling ana matumaini ya kuanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Tottenham…
MO DEWJI: SIMBA HAINA HELA
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji amesema kuwa hela zote za usajili yeye anatoa…