Trending Stories
View All
SIMBA YAINGIA ANGA ZA NAHODHA WA BIASHARA UNITED
NYOTA wa Kabu ya Biashara United, Abdulmajid Mangalo ambaye pia ni nahodha wa timu hiyo anatajwa kuingia anga za…
KMC YAZITAKA POINTI TATU ZA VINARA WA LIGI AZAM FC
UONGOZI wa KMC umesema kuwa mchezo wao dhidi ya Azam FC utakuwa na ushindani mkubwa ila wamejipanga kupata pointi tatu.…
KOCHA NAMUNGO AFUTWA KAZI
IMEELEZWA kuwa Hitimana Thiery amefutwa kazi ndani ya Klabu ya Namungo FC inayotumia Uwanja wa Majaliwa kwa mechi zake za…
ALICHOFANYIWA LUIS HUKO MSUMBIJI ACHA KABISA
KIUNGO msumbufu wa Simba, Luis Miquissone, juzi akiwa kwenye majukumu yake ya timu ya Taifa ya Msumbuji alikuwa kwenye…
KAZE: KUREJEA KWA CARLINHOS KUTANIPA NGUVU YA KUPANGA KIKOSI KAZI
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa uwezo wa kiungo wake raia wa Angola Carlos Carlinhos ni wa hali…
GARETH ACHEKELEA KUREJEA TOTTENHAM
GARETH Bale nyota wa Klabu ya Tottenham Hotspurs ambaye ni nahodha wa timu ya Taifa ya Wales amesema kuwa amefurahi…
FRAGA ATIBUA MIPANGO YA MBELGIJI WA SIMBA KIMATAIFA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kukosekana kwa nyota wake Gerson Fraga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa…
TAIFA STARS YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA TUNISIA BAADA YA KUFUNGANA BAO 1-1
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, usiku wa kuamkia leo Novemba 18 imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
IHEFU YAJIWEKA MGUU SAWA KUUMANA NA POLISI TANZANIA
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kuwa kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu…
AZAM FC HESABU ZAKE KWA KMC
KIKOSI cha Azam FC kimeendelea kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya KMC utakaochezwa Uwanja wa…
YANGA: WACHEZAJI WANAJUA MALENGO YETU
JUMA Mwambusi, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa uwezo walionao wachezaji wao unawapa nafasi ya kupata matokeo chanya kwenye…
SIMBA YAMVUTIA KASI KIUNGO MKABAJI WA KAIZER CHIEF
INAELEZWA kuwa Simba inavutiwa na kiungo wa Kaizer Chiefs na timu ya Taifa ya Kenya Anthony Teddy Akumu. Hesabu…
CECAFA U 20 KUFANYIKA NOVEMBA 22 ARUSHA
BARAZA la Michezo Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetangaza michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20…
TIMU YA TAIFA YA MSUMBIJI YENYE LUIS YANYOOSHWA MABAO 2-0 NA CAMEROON
TIMU ya Taifa ya Msumbiji inayonolewa na Kocha Mkuu Luis Goncalves ikiwa nyumbani jana ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya…
MO AJA NA MKAKATI KWA AJILI YA SIMBA QUEENS
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji (Mo) amefunguka kuwa, katika vipaumbele ambavyo wametaka kuvifanyia kazi…