Trending Stories
View All
JUMA ABDUL AWACHAMBUA MABEKI WA YANGA
BEKI wa kulia wa zamani wa Yanga, Juma Abdul amesema kuwa safu ya ulinzi ya Yanga imetimia kwa ajili ya…
YANGA V POLISI TANZANIA KAZE ANA KAZI KWA MALALE
KIKOSI cha Polisi Tanzania kinachonolewa na mzawa, Malale Hamsini leo Oktoba 22 kitashuka Uwanja wa Uhuru saa 10:00 kusaka pointi…
KAGERE ATUMA UJUMBE HUU KWA WANASIMBA
NYOTA wa Simba, Meddie Kagere ametoa kauli ya matumaini kwa kusema yupo kwenye muda wa ‘kurikava’ majeraha yake ambapo baada…
YANGA KUWAKOSA WATATU LEO, MUANGOLA NAYE HATIHATI,POLISI TANZANIA MMOJA
HUENDA kiungo mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos raia wa Angola akaukosa mchezo wa leo Oktoba 22 dhidi ya Polisi…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamis
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO OKTOBA 22, YANGA NA SIMBA KAZINI
LEO Oktoba 22, Ligi Kuu Bara inaendelea ambapo timu nne zitakuwa kwenye viwanja viwili tofauti kusaka pointi tatu muhimu. Yanga…
TANZANIA PRISONS: TUMEWAFUNGA MARA NYINGI SIMBA, TUTAWAFUNGA TENA
LEO, Tanzania Prisons itawakaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 jioni. Tanzania Prisons…
FURAHA YA MTAMBO WA MABAO NDANI YA LIGI KUU BARA IMEJIFICHA HAPA
MASHINE ya mabao ya Azam FC, Mzimbabwe Prince Dube amefunguka kuwa furaha yake ni kuona timu inashinda kwenye mechi ambazo…
C7 MUGALU WA SIMBA ATAKIWA KUFUNGA MABAO MENGI
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Sven Vandenbroeck amempa kazi maalum mshambuliaji wake raia wa DR Congo, Chris Mugalu, kuhakikisha…
YANGA YAIPIGIA MATIZI YA MWISHO POLISI TANZANIA
KIKOSI cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi…
ISHU YA MABAO, MUANGOLA WA YANGA ATAJWA KUWA TATIZO NDANI YA YANGA
KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ameanza na safu ya ushambuliaji katika program zake za mazoezi ili…
KMC YAHAMISHIA NGUVU KWA YANGA, MWANZA
BAADA ya Klabu ya KMC kugawana pointi mojamoja na Klabu ya Ruvu Shooting, jana Oktoba 20 kwenye mchezo wa…
SIMBA KAMILI GADO KUMALIZANA NA TANZANIA PRISONS
PATRICK Rweyemamu, Meneja wa Klabu ya Simba amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili mchezo wa kesho dhidi ya Tanzania…
KIRAKA WA PRISONS KIMENYA MDOGOMDOGO ANAREJEA KWENYE UBORA
SALUM Kimenya, kiraka wa timu ya Tanzania Prisons amesema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri jambo analomshukuru Mungu. Kimenya anasumbuliwa…
PETR CECH AREJEA CHELSEA
KIPA wa zamani wa Arsenal na Chelsea, Petr Cech amerejea tena kwenye timu yake ya zamani ya Chelsea akiwa…
YANGA YAMFUTA KAZI KOCHA WAO
BAADA ya kimya kutanda kwa muda mrefu, hatimaye Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kuachana na aliyekuwa kocha wa viungo…