Trending Stories
View All
SIMBA KUKIPIGA NA NDANDA FC AZAM COMPLEX
KESHO, Oktoba 13 kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya…
DUBE WA AZAM FC APANIA KUWA BORA
BAADA ya kufanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Septemba ndani ya Ligi Kuu Bara, straika wa Azam FC,…
KMC YAIPIGA MKWARA COASTAL UNION YA TANGA
CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa baada ya timu hiyo kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Polisi…
SAID NDEMLA: BADO UWEZO NINAO, SINA MASHAKA
SAID Ndemla, kiungo wa Simba amesema kuwa hana hofu yoyote ile ndani ya kikosi hicho bado anaamini ana nafasi…
TAMBWE AMFUNGUKIA KOCHA MPYA WA YANGA
MSHAMBUALIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amefunguka kuwa Yanga imepata bonge la Kocha Cedric Kaze ambaye anapenda soka…
AZAM FC WAIVUTIA KASI MWADUI FC
AZAM FC ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara wanaendelea kukinoa kikosi kwa ajili ya muendelezo wa kutoa burudani kwa…
VITA YA KIATU CHA UFUNGAJI BORA IMEANZA MAPEMA
MEDDIE Kagere mshambuliaji namba moja ndani ya Simba kwa msimu wa 2020/21 ana kazi ya kufanya kutetea kiatu chake…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Spoti Xtra Jumapili, lipo mtaani
UJUMBE WA JEMBE KWENDA KWA HAJI MANARA WA SIMBA
Anaandika Saleh Jembe kwenda kwa Haji Manara namna hii:- HAJI Manara umekuwa kivutio kwa vijana wengi kutamani kuwa wasemaji wa klabu,…
YANGA WATAJA SABABU YA KUCHEZA MECHI ZA KIRAFIKI
ANTONIO Nugaz, Ofisa Uhamasishaji ndani ya Klabu ya Yanga ambaye leo Oktoba 10 ni kumbukizi yake ya kuletwa duniani, amesema…
KUWAONA VINARA WA LIGI WAKIKIPIGA DHIDI YA MAFUNZO BUKU MBILI
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC leo Oktoba 10 wana kibarua cha kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya…
SIMBA KUKIPIGA DHIDI YA NDANDA, AZAM COMPLEX
KIKOSI cha Simba chenye mastaa wenye ushkaji na nyavu ikiwa ni pamoja na Chris Mugalu, Meddie Kagere, Clatous Chama kina…
TAIFA STARS: TUNAWEKA REKODI KESHO KWA MKAPA
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, amesema kuwa wataandika rekodi mpya Uwanja wa Mkapa…
DEMBELE YEYE ANAPIGA MAZOEZI TU
NYOTA wa Barcelona, Ousmane Dembele amelazimika kufanya mazoezi peke yake baada ya mapumziko ya muda wa siku nne kwa timu…
YANGA: TIMU NYINGI ZINATUKAMIA,ILA HATUOGOPI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mechi za ligi pamoja na nyingine zote bila kujali inakutana…
KOCHA GOR MAHIA AACHIA NGAZI
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Kenya Gor Mahia wameachana na kocha Steven Polack. Gor Mahia wamethibitisha kuwa wameachana na Kocha…