Trending Stories
View All
NAMUNGO FC: UPEPO NI MBAYA KWETU
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa timu ya Namungo amesema kuwa kwa sasa ni upepo mbaya unawasumbua ndani ya uwanja jambo…
MWADUI FC WATUMA SALAMU KWA AZAM FC
KOCHA Mkuu wa MwaduiFC, Khalid Adam amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara…
NDANDA: TUPO TAYARI KUVAANA NA SIMBA
NGAWINA Ngawina, Kocha Mkuu wa Ndanda FC amesema kuwa kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo Oktoba…
KMC KUMALIZA HASIRA ZOTE KWA WAGOSI WA KAYA
CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa baada ya timu hiyo kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya…
HAJI MANARA: ZITAPIGWA GONGAGONGA NYINGI SANA LEO DHIDI YA NDANDA
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa mashabiki wajitokeze kwa wingi leo Uwanja wa Azam Complex kushuhudia burudani na…
WINGA MPYA WA YANGA KUANZA MAJUKUMU YAKE
WINGA Saidi Ntibazonkiza anayekipiga timu ya Taifa ya Burundi ambaye amesaini dili la mwaka mmoja na nusu ndani ya Klabu…
KANTE ANATAKA KUONDOKA CHELSEA
KIUNGO wa Klabu ya Chelsea raia wa Ufaransa, N’Golo Kante anaweza kuondoka ndani ya timu hiyo mwezi Januari baada ya kuzozana…
DUBE ATAKATA AZAM FC IKIPIGA 4G
PRINCE Dube, jana Oktoba 12 alikoingoza kikosi chake cha Azam FC kuubuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya…
BEKI MZAWA DAVID LUHENDE AINGIA ANGA ZA SIMBA NA YANGA
BEKI kisiki ndani ya Klabu ya Kagera Sugar, David Luhende ameingia kwenye anga za mabeki wageni wanaokipiga ndani ya Simba…
CHEKI NAMNA REKODI ZILIVYOPINDULIWAPINDULIWA NDANI YA LIGI KUU BARA
MZUNGUKO wa sita upo njiani kwa sasa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo unatarajiwa kuanza kutimua vumbi Oktoba 14. Rekodi…
NAMUNGO WANAFANYIA KAZI MAKOSA YAO VPL
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa timu ya Namungo amesema kuwa kwa sasa anafanyia kazi makosa ambayo wameyafanya kwenye mechi zao…
ISHU YA PANGUAPANGUA RATIBA NI PASUA KICHWA LAZIMA ITAFUTIWE DAWA
MZUNGUKO wa sita upo njiani ambapo kuna mchezo uliopaswa kuchezwa Oktoba 18 kati ya Yanga na Simba ulipelekwa mbele…
MUGALU ATENGEWA DAKIKA 180 NDANI YA SIMBA
NYOTA wa Simba mwenye zali la kutupia kwenye kila mechi ndani ya Ligi Kuu Bara, Chris Mugalu ametengewa dakika 180…
KOCHA MPYA YANGA AMEANZA KAZI
IMEELEZWA kuwa, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze raia wa Burundi, tayari ameanza kazi ya kukinoa kikosi hicho kwa kutuma…
REDODO BADO WAMO VPL
KIUNGO Ramadhan Chombo,’ Redodo’ anayecheza ndani ya Biashara United bado amekuwa kwenye ubra wake akiwa ndani ya uwanja kwa…
NEMBO MPYA YA FOUNTAIN GATE
KIKOSI cha Fountain Gate FC ya jijini Dodoma, imezindua nembo yake mpya itakayotumika ndani ya timu hiyo. Fountain Gate…