Trending Stories
View All
CHEKI RATIBA YA LIGI KUU BARA MECHI ZA MWANZO RAUNDI YA NNE
KESHO ni mwanzo wa raundi ya nne baada ya tatu kukamilika kwa mechi tisa kupigwa huku moja pekee ikiambulia sare…
LUIS SUAREZ MALI YA ATLETICO MADRID
BARCELONA wamekubali kumwachilia mshambuliaji wake, Luis Suarez, ambaye ni raia wa Uruguay ajiunge na washindani wakuu katika Ligi Kuu ya…
KOCHA ARSENAL ATAKA KILA MCHEZAJI KUFUNGA
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amewataka wachezaji wake kumsaidia suala la ufungaji mabao straika wao namba moja, Pierre-Emerick…
RUVU SHOOTING YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA BIASHARA UNITED
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara msimu mpya…
HIVI NDIVYO SIMBA ILIVYOIPIGA BAO AL AHLY
KLABU ya Simba imezifunika timu nyingi Afrika ikiwa ni pamoja na Klabu ya Al Ahly ya Misri kutokana na…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
SABABU ITAKAYOMCHOMOA CHAMA SIMBA HII HAPA
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amependezwa na ufundi wa kiungo wake Clatous Chama huku akibainisha kuwa ni ngumu…
KESHO NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI USIKOSE NAKALA YAKO
NDANI ya Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi kesho usikubali kukosa nakala yako kesho Septemba 24, Jero kama Jero
BIASHARA UNITED: TIMU IKIENDA KICHWAKICHWA KWA SIMBA ITAPIGWA ZAIDI YA 4G
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Biashara United amesema kuwa kwa msimu wa 2020/21 ikiwa itatokea timu itaingia kichwakichwa kucheza na…
MZUNGUKO WA TATU ULIKUWA NI MOTO CHINI, MABAO 13 YAKUSANYWA
Mzunguko wa tatu umekamilika kibabe. Mechi moja pekee ndo ilimaliza dk 90 bila nyavu kutikiswa ilikuwa ni kati ya…
CHIRWA AITWA TIMU YA TAIFA MARA YA KWANZA
OBREY Chirwa, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha timu ya Azam FC amesema kuwa mwaka 2020 ni mara…
FRAGA MAMBO MAGUMU SIMBA, KUIKOSA GWAMBINA FC
GERSON Fraga kiungo mkabaji ndani ya Klabu ya Simba atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki tatu kutokana…
SUAREZ RUKSA KUSEPA BARCELONA, ATLETICO MADRID YATAJWA
LUIS Suarez, mshambuliaji wa Barcelona anatajwa kuingia kwenye anga za Juventus baada ya mabosi wa timu hiyo kukubali kumuacha aondoke…
KOCHA YANGA ATAJA TATIZO LA WACHEZAJI WAKE LILIPO
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mserbia, Zlatko Krmpotić amewapa majukumu mapya washambuliaji wake Michael Sarpong na Yacouba Sagne kwa kuhakikisha…
AZAM FC KAMILI GADO KUMALIZANA NA TANZANIA PRISONS
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania…
KASI YA NYOTA WAPYA NDANI YA YANGA YAWAPA MATUMAINI GSM
MKURUGENZI wa Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said amesema kuwa matokeo chanya ambayo wanayapata Yanga kwa sasa kwenye mechi zao tatu…