Trending Stories
View All
KOCHA COASTAL UNION ASHUSHA PRESHA MASHABIKI
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa mashabiki wasiwe na hofu na kikosi cha Coastal Union kwa…
YANGA NA SIMBA ZIMEPOTEZANA BONGO JUMLAJUMLA
SIKU 25 zimebaki kabla ya miamba ya soka nchini Tanzania, Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Zlatko Krmpotic na Simba…
ISHU YA NIDHAMU YA MORRISON NDANI YA SIMBA IPO HIVI
MENEJA Mkuu wa Simba, Patrick Rweyemamu amesema kuwa hapati usumbufu wowote kutoka kwa kiungo mshambuliaji wake mpya Mghana, Bernard Morrison.…
DAVID MOYES, MENEJA WA WEST HAM UNITED AKUTWA NA CORONA
KOCHA Mkuu wa West Ham, David Moyes amekutwa na Virusi vya Corona pamoja na wachezaji wake wawili ambao ni Issa…
SIMBA YAPIGA HESABU ZA KUSHINDA MECHI ZOTE DAR
NYOTA namba moja ndani ya Klabu ya Simba Clatous Chama amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya ushindani ndani…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
KISINDA:TUNA JUKUMU KUBWA KUTATIMIZA MALENGO
TUISILA Kisinda winga mpya ndani ya Klabu ya Yanga amesema kuwa wanajukumu kubwa la kupambana kwa ajili ya timu…
NYOTA WA YANGA AIBUKIA ZESCO UNITED
DAVID Molinga mshambuliaji wa zamani wa Yanga amejiunga na Klabu ya Zesco United ya Zambia
NAMUNGO FC:BADO TUNA NAFASI YA KUFANYA VIZURI
BIGIRIMAMA Blaise mshambuliaji namba moja ndani ya Klabu ya Namungo FC amesema kuwa wanaamini watarejea kwenye ubora wao licha…
MCHEZO WA KIRAFIKI: SIMBA 0-0 AFRICAN LYON
Simba 0-0 African Lyon Uwanja l: Azam Complex Dakika ya 26 Afrika Lyon wanapata faulo Dakika ya 23 Mkude…
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AFRIKA LYON MCHEZO WA KIRAFIKI
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Afrika Lyon Uwanja wa Azam Complex mchezo wa kirafiki
SIMBA INA HESABU ZA KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA WAARABU
Ofisa Mtendaji Mkuu, Barbara Gonzalez akiongozana na Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, Mulamu Nghambi wametembelea makao makuu ya klabu…
MTIBWA SUGAR WAIPA SOMO KIMTINDO SIMBA KUHUSU WACHEZAJI WA GHARAMA
OFISA Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amefichua kuwa kabla ya matokeo ya sare na Simba, wapinzani wao walijuwa watawafunga…
KMC WATAJA KILICHO NYUMA YA USHINDI WAO
UONGOZI wa KMC umesema kuwa kikubwa kinachowabeba ndani ya Ligi Kuu Bara ni wachezaji kujituma na kutimiza majukumu yao…
LIVERPOOL IPO KWENYE HESABU ZA KUPATA SAINI YA MBAPPE
IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Liverpool ipo kwenye hesabu za kumpata mshambuliaji wa Klabu ya Paris Saint-German,(PSG) Kylian Mbappe kwa ajili…
YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA MTIBWA SUGAR
BEKI kisiki wa Yanga, Lamine Moro amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara…