Trending Stories
View All
LIONEL MESSI BADO YUPOYUPO NDANI YA BARCELONA
Lionel Messi ametangaza kusalia katika kikosi cha Barcelona kwa msimu wa 2020/2021 kufuatia ugumu wa masuala ya kisheria katika mkataba…
SABABU YA MEDDIE KAGERE KUJENGA URAFIKI NA BENCHI HII HAPA
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji Sven Vandenbroeck amefunguka kwamba straika wake, Meddie Kagere anakaa benchi kutokana na yeye kupanga na…
BREAKING:MESSI AWAJIBU LA LIGA KUHUSU ISHU YAKE YA MALIPO
BREAKING: BABA wa nyota wa Klabu ya Barcelona, Lionel Messi amesema kuwa ishu ya La Liga kutaka mwanae kulipa…
KAGERA SUGAR YAJIVUNIA MAJEMBE YA SIMBA NA YANGA
KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya msimu mpya wa 2020/21 huku…
JESHI KAMILI LA AZAM FC MSIMU WA 2020/21 HILI HAPA
Abdul Haji Omary ‘Hamahama’ Daniel Amoah Awesu Ally AwesuYakubu Mohamed Agrey Moris Ambross Ayubu Rueben Lyanga Salum Abubakary Salum ‘Sure Boy’ Shaaban Idd Chilunda Obrey Chola Chirwa Ismail…
MUGALU NYOTA MPYA WA SIMBA KUIKOSA IHEFU MAZIMA
MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Mkongomani, Chris Mugalu, tayari yupo nchini baada ya kurudi kutoka nyumbani kwao DR Congo alipokwenda kumaliza…
NAHODHA YANGA ALIGOMEA BENCHI
NAHODHA wa sasa wa Yanga, Deus Kaseke, amefunguka kwamba, amejipanga kuendana na uwepo wa wachezaji wengi wapya ndani ya…
THIAGO AZIGOMEA KIMTINDO TIMU ZINAZOIWINDA SAINI YAKE
NYOTA anayekipiga ndani ya Klabu ya Bayern Munich ambao ni Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Thiago Alcantara amesema…
AZAM FC WAPANIA MAKUBWA 2020/21
UONGOZI wa Klabu ya Azam FC umesema kuwa utakuja tofauti ndani ya msimu wa 2020/21 kwa kufanya makubwa tofauti…
YANGA IPO KAMILI GADO KUIVAA TANZANIA PRISONS
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa maandalizi yao kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons yapo vizuri.…
SIMBA YAZITAKA POINTI TATU ZA IHEFU FC
UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu utakaopigwa…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MAJEMBE MAPYA YAWAPA JEURI AZAM FC,WATAMBA KUBEBA UBINGWA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi mipango yao ya kugombania ubingwa msimu ujao mara baada ya kufanya usajili ambao unawapa…
VAN de BEEK AMALIZANA NA MANCHESTER UNITED, AKABIDHIWA JEZI NAMBA 34
KLABU ya Manchester United ya England imekamilisha usajili wa mchezaji Donny van de Beek (23) kwa ada ya Paundi Milioni…
HAYA HAPA MAAMUZI RASMI ATAKAKOKIPIGA MORRISON MSIMU WA 2020/21
BERNARD Morrison, winga mpya wa Klabu ya Simba rasmi atakipiga kwenye klabu hiyo baada ya Shirikisho la Soka Tanzania…