Trending Stories
View All
BEKI BORA MSIMU WA 2019/20 APEWA TUZO NYINGINE TENA
UONGOZI wa Azam FC umempa tuzo nyingine tena beki bora wa msimu wa mwaka 2019/20 ndani ya Ligi Kuu…
AFC YAFUNGWA MABAO 6-0 NA SIMBA, LUIS MIQUSSONE ATUPIA MATATU
KIKOSI cha Simba, leo Agosti 31 kimeibuka na ushindi wa mabao 6-0 mbele ya AFC kwenye mchezo wa kirafiki…
UNITED YATAKA SAINI YA BEKI WA RB LEIPZING KUMUONGEZEA NGUVU MAGUIRE
IMEELEZWA kuwa Manchester United ipo kwenye mpango wa kuinasa saini ya beki wa Klabu ya RB Leipzig, Dayot Upamecano kwa…
MSIMU MPYA TUNAHITAJI SOKA LA USHINDANI, MALALAMIKO YAWEKWE KANDO
LEO Jumatatu saa 5:59 usiku dirisha la usajili litafungwa rasmi kwa hapa nchini ikihitimisha kipindi cha mwezi mzima cha timu…
JEMBE LA KAZI YANGA KUTOKA BURKINA FASO LATIA TIMU BONGO RASMI
YACOUBA Sogne mshambuliaji wa Yanga amewasili Tanzania leo Agosti 31 akitokea nchini Burkina Faso. Sogne anaungana na wachezaji wenzake…
MANE ANUKIA BARCELONA
SADIO Mane nyota wa Klabu ya Liverpool anatajwa kuingia anga za Klabu ya Barcelona ili kuziba pengo la mshambuliaji wao…
MCHEZO MZIMA WA SIMBA KUTWAA NGAO YA JAMII ULIKUWA NAMNA HII
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck jana Agosti 30 kilifanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa kushinda…
MCHEZO MZIMA WA YANGA KUINYOOSHA AIGLE NOIR KWA MKAPA ULICHEZWA HIVI
YANGA jana Agosti 30 Uwanja wa Mkapa ilihitimisha kilele cha wiki ya Mwananchi kwa ushindi wa mabao 2-0 mbele ya…
ANAANDIKA HAJI MANARA AKIWAOMBA WATANZANIA WAMPE JAPO HESHIMA
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amewaomba mashabiki na watanzania wampe heshima kabla hajatangulia mbele za haki kwa kuwa…
SAKATA LA MORRISON KUIBUKA UPYA, SERIKALI YATOA USHAURI HUU YANGA
ALIYEKUWA Rais wa awamu ya nne wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameishauri Yanga…
MTIBWA SUGAR WAMEAMUA,YAMALIZANA NA MAJEMBE SITA YA KAZI
JUMA Nyangi, nyota wa zamani wa Klabu ya Alliance FC ya Mwanza anatimiza idadi ya nyota sita waliosajiliwa na…
JEMBE LA YANGA JIPYA KUTUA LEO
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga,Yacouba Sogne raia wa Burkina Faso anatarajiwa kutua nchini leo Agosti 31, akitokea nchini Burkina Faso. …
LIVE:YANGA 0-0 AIGLE NOR
Dakika ya 30, nyota wa Aigle, Koffi anaonyeshwa kadi ya pili ya njano na kufanya aonyeshwe kadi nyekudu, Dakika ya…
SIMBA YATWAA NGAO YA JAMII
KLABU ya simba, leo Agosti 30 imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Namungo FC na kufanikiwa kutwaa…
SAKATA LA MORRISON LAIBUKA UPYA, YANGA WAMTAMBULISHA UWANJA WA MKAPA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa bado mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison ni mali yao na wamemtambulisha kuwa mchezaji…
BABA MANARA AFUNGUKA USAJILI WA YANGA, MASHABIKI WA YANGA NI WENGI
Baba yake Haji Manara, Mzee Sunday Manara Amefunguka kuhusu kujaza viwanja viwili.Msikie hapa chini