Habari za Yanga leo

WAKATI SIMBA WAKIPOTEANA JANA….YANGA WALIA NA HUJUMA….KAMWE AMATAJA ADUI YAO…

0
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kwa kusema kwamba wanaushindani mkubwa na maadui wakubwa kitakachowanusuru ni umoja, mshikamano na mapambano ya dhati kutoka...
Habari za Yanga leo

MZEE KAMWE AFUNGUA A-Z ANAVYOTELEZA NA USTAA WA MWANAE KIMAISHA….

0
BABA wa Msemaji wa Yanga, Shaban Kamwe, amesema umaarufu wa mwanawe, Ali Kamwe, umemletea manufaa mbalimbali katika maisha yake. Mzee Kamwe aliyasema hayo wakati akizungumzia...
Habari za Michezo

MTZ ALIYESAJILIWA WYDAD AANZA NA ‘GUU LA KAZI’….MWAMUZI AKATAA ‘MGOLI WAKE WA KIDEO’…

0
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania anayekipig Wydad AC ya Morocco, Seleman Mwalimu 'Gomez' ameanza mechi ya kwanza akiwa na uzi wa timu hiyo iliyotoka suluhu na...
Habari za Yanga

HUKO JANGWANI KUNA GUNDU GANI…..MWINGINE ABWAGA MANYANGA YANGA….

0
ALIANZA aliyekuwa kocha mkuu, Sead Ramovic, kisha akafuata kocha wa makipa Alaa Meskini, kiasi cha kuanza kuzua maswali, Yanga kunani? Ndio, Ramovic aliyeajiriwa na Yanga,...
Habari za Simba leo

ULE MCHONGO WA SIMBA KWA WAARABU HUU HAPA….JE WATARUDIA YA YANGA..?

0
SIMBA nd’o zetu. Huu ni msemo uliozoeleka kwa mashabiki wa klabu hiyo linapokuja suala la mechi za kimataifa. Na safari hii ni zamu ya klabu...
Meridianbet

MERIDIANBET YAJA NA PROMOSHENI YA AVIATOR….PS5 ZA KUMWAGA HIZI HAPA…

0
Je unajua kuwa Meridianbet imekuja na promosheni kabambe ya Aviator ambayo inaweza kukupatia zawadi malukuki ikiwemo PS5 na beti kibao za bure ambazo utazitumia? Basi...
Habari za Yanga leo

HII NDIO YANGA BANAAA…..MASHUJAAA WAGONGWA 5 KAVU…CHAMA NI MHHH…

0
WAKATI Simba na Azam zikishuka uwanjani kesho jioni katika Mzizima Derby, vinara na watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga jana ilimaliza kazi kwa kuweka...
Habari za Michezo

BAADA YA YANGA KUMBEBA MILOUD ‘KIBABE’….SINGIDA WAFANYA ‘KUFRU’ NYINGINE…KOCHA MPYA HUYU HAPA..

0
UONGOZI wa Singida Black Stars umemtambulisha kocha Juan Carlos Oliva (MAGRO) kutoka Hispania kuwa kocha msaidizi namba moja kuongeza nguvu benchi lao la ufundi...
MSEMAJI SIMBA AINGIA MATATANI..."YANGA NI KAMA MAITI TU WANAKUJA TUWAKAMUE

AHMED ALLY:- TUKISHINDA KESHO UBINGWA HUU HAPA….TUTAANDA SHEREHE MAPEMA….

0
UONGOZI wa klabu ya Simba umesema kutokana na ugumu na umuhimu wa mchezo dhidi ya Azam FC, wamevunja utaratibu wao wa kuwaruhusu wachezaji kwenda...
Habari za Simba leo

ATEBA, AHOUA WAJIPATA SIMBA….FADLU AWAPA UHAKIKA WA MAISHA….JUKUMU LAO JIPYA HILI….

0
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amebainisha kuwa Jean Charles Ahoua na Leonel Ateba watakuwa na jukumu la kupiga penati wanapokuwa uwanjani katika michezo...