Trending Stories
View All
SIMBA YAMALIZA KAZI YA WINGA HATARI WA COASTAL UNION
UONGOZI wa Simba SC umeendelea kuonyesha dhamira yake ya kuimarisha kikosi kuelekea msimu ujao baada ya kukamilisha hatua za awali…
HUKUMU YA PEREZ, RIQUELME NI LEO
BARCELONA, HISPANIA:Â KWA MARA ya kwanza katika kipindi cha miaka 20, utawala wa Florentino Perez ndani ya Real Madrid utakabiliwa na…
MKENYA AINGIA ANGA ZA AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC unaendelea na mchakato wa kuboresha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao, ambapo kwa sasa inafuatilia…
RUSHINE SIO BEKI TU, NI MWALIMU WA MASINDE SIMBA
BEKI wa kati wa Simba, Vedastus Masinde, amemtaja beki mwenye uzoefu mkubwa, Rushine De Reuck, kuwa miongoni mwa watu waliomsaidia…
MSIMU UJAO HATARINI KWA YAKOUB BAADA YA UPASUAJI WA GOTI
KIPA wa Simba, Yakoub Suleiman, anakabiliwa na kipindi kigumu cha kuuguza jeraha baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti, hali inayotarajiwa…
KILELE CHA USHINDI KINAANZA NA HATUA MOJA
Wakati wengine wanatafuta bahati, wengine tayari wanaitengeneza kupitia Big Bounty Challenge ya Meridianbet. Hii ni nafasi ya kushiriki mashindano yanayotoa zawadi…
USA DHIDI YA GERMANY MAPAMBANO KABLA YA KOMBE LA DUNIA
Leo Juni 6, 2026 saa 21:30 usiku, Uwanja wa Soldier Field mjini Chicago, Marekani utakuwa jukwaa la mchezo wa kirafiki…
MAGORI AFUNGUA SIRI YA UWANJA WA SIMBA BILIONI 1 KILA MWAKA ZATENGWA
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentius Magori, amesema mzabuni wa jezi za klabu hiyo, Jayrutty Investment, anaendelea…
DAR LEOPARDS WALIAMSHA RAGA DAR
WAPENZI wa mchezo wa raga jijini Dar es Salaam wanatarajia kushuhudia wikiendi yenye shamrashamra na ushindani mkubwa baada ya klabu…
BENDERA KUBWA, MAONESHO YA FATAKI NYIMBO
MIAMI, MAREKANI:Â FIFA imezindua kile ilichokieleza kuwa ni utaratibu mpya wa kipekee na wa kuvutia zaidi wa sherehe za kabla ya…
BILIONEA WA QATAR AIPOTEZEA MAN UNITED
LONDON, England: KUNDI la wawekezaji kutoka Qatar ambalo hapo awali lilishindwa kuinunua klabu ya Manchester United halijawasiliana maombi mengine kuhusu…
DAKIKA 90 ZA KIHISTORIA KWA GEITA GOLD KUREJEA LIGI KUU
ADA ya Geita Gold kudumu katika Ligi ya Championship kwa siku 740, ambazo ni sawa na miaka miwili na siku…
AZERBAIJAN DHIDI YA MALTA KUJIPIMA NGUVU MCHEZO WA KIRAFIKI
Leo Juni 5, 2026 saa 21:00, Uwanja wa Haladás Sportkomplexum nchini Hungary utakuwa shuhuda wa mchezo wa kirafiki kati ya…
KWANINI CHAPA NYINGI ZA TANZANIA ZINASHINDWA KUACHA HISTORIA KWA WATUMIAJI
Kwa miaka mingi, chapa nyingi nchini Tanzania zipo kila mahali lakini ni ngumu mtu kuzikumbuka. Nembo kubwa jukwaani, DJ’s maarufu,…
USHINDI UNAANZIA KWENYE BARAFU LA MERIDIAN ICY FRUITS
Meridianbet inaendelea kuleta ubunifu mkubwa kwenye ulimwengu wa kasino kupitia Meridian Icy Fruits. Mchezo huu wa sloti umebeba alama pendwa…
IRAOLA AKABIDHIWA JUKUMU LIVERPOOL
LONDON, ENGLAND: KOCHA Andoni Iraola amesema anaelewa “kile kinachotarajiwa” kwake, lakini yuko tayari kukabiliana na changamoto mpya baada ya Liverpool…