AZAM KUONDOKA NCHINI KESHO
WAMEPANIA ndivyo unavyoweza kusema kufuatia Uongozi wa Azam kufuta Tamasha la Azam, huku wakitumia muda huo kwenye maandalizi, ambapo kesho Jumatatu kikosi kitasafiri kuelekea...
MZIKI MZIMA WA SIMBA NA YANGA HUU HAPA
HAKUNA kisingizio Septemba 25 kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utakuwa ni ufunguo wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2021-22, Simba na...
WAKATI SIMBA AKICHEZA JANA…KIGOGO WA YANGA ATAJA TIMU WATAKAZOCHEZA NAZO MOROCCO
YANGA bado haijaanza kivile mazoezi ya uwanjani, lakini wamepokea maombi ya timu mbili zikitaka kutesti nao mitambo.Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga,...
WAKATI TUNABORESHA VIKOSI, TUSISAHAU NA VIWANJA VYETU PIA
ACHA kazi iendelee kwa sasa hasa kwenye upande wa maboresho ya timu zote kuanzia Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la Pili, Ligi ya Wanawake...
WAZIRI Jr AIONYESHA YANGA JEURI YA PESA…AWAMWAGIA MAMILION KUVUNJA MKATABA TU
STRAIKA Waziri Junior ameiingizia klabu ya Yanga Sh15 milioni baada ya kuvunja mkataba na klabu hiyo kwa kufikia makubaliano ya pande mbili.Junior alitakiwa kuuzwa...
USAJILI UKIWA WAKUKURUPUKA, ITAFAHAMIKA TU LIGI IKIANZA
HAKUNA namna kwa sasa kila timu inavutia kwake na ikitamba kufanya usajili makini. Hili ni sawa na kila mmoja anastahili kupongezwa kwa kile ambacho...
YANGA WAANIKA MPAGO HUU KUHUSU JEZI MPYA..MASHABIKI KUZIONA NA KUZIVALIA UWANJANI TU
UONGOZI wa klabu ya Yanga umesema sababu kubwa ya kutopanga kutambulisha jezi zao za msimu mpya kwenye uzinduzi wa siku ya Mwananchi, Agosti 22...
BAADA YA KUAGWA KWA HESHIMA..NIYONZIMA AIBUKA NA HILI KUHUSU YANGA
LICHA ya kuachana salama na iliyokuwa klabu yake ya Yanga, kiungo fundi wa mpira Mrwanda, Haruna Niyonzima amesema, kwa namna ambavyo Yanga wamesajili watafanya...
WIKI YA MWANANCHI IMEANZA, YANGA YATOA MAGODORO 30
IKIWA ni kuelekea katika wiki ya Mwananchi ambapo kilele chake kinatarajiwa kiwa Agosti 29, Uwanja wa Mkapa tayari harakati zimeanza kwa jamii.Jana Mjumbe wa...
GOMES: TUTAIMARIKA ZAIDI,TUTAKUWA TOFAUTI
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anawaamini wachezaji wake na anajua kwamba watakuwa tofauti kwa msimu ujao kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya.Wakiwa...