MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
TAMBWE KUTUA LEO ..KUJIUNGA NA TIMU YA DARAJA LA KWANZA..ATUPA DONGO YANGA
WAKATI timu ya DTB inayotarajiwa kushiriki Championship (Lidi daraja la kwanza) ikizidi kuboresha kikosi chao aliyekuwa mchezaji wa Simba na Yanga Amis Tambwe anatarajia...
LEGEND DIDIER DROGBA MATAJI KAMA YOTE
LEGEND legend legend haswaa, Didier Drogba ni moja ya mastaa ambao rekodi zao zinaishi kila wakati kutokana na makubwa ambayo alikuwa akiyafanya ndani ya...
BAADA YA KUITEMA YANGA…WAZIRI JR AFUNGUKA A-Z MAISHA YAKE JANGWANI..AWATAJA VIONGOZI
Nichukue fursa hii kuwashukuru sana wana Yanga kuanzia makocha, wachezaji, viongozi na mashabiki kwa kuniamini na kuwa mmoja waoHaikuwa safari rahisi licha ya kuwa...
PAPE SAKHO AANZA KWA KASI YA 5G SIMBA …APIGA GOLI LA KIULAYA ULAYA MECHI...
Kikosi cha Simba leo kimecheza mechi ya kwanza ya kirafiki dhidi ya AS FAR Rabat ya nchini humo na kumaliza kwa sare ya mabao...
BAADA YA KUTEMWA AS VITA…PILAU NA BIRIAN VYAMRUDISHA TSHISHIMBI BONGO
NAHODHA wa zamani wa Yanga, Papy Tshishimbi amethibitisha mapenzi yake na Tanzania baada ya kurudi tena kula maisha baada ya kumaliza mkataba na AS...
PAMOJA NA KUAGA MSIMBAZI…CHAMA AFUNGUKA HAYA KUHUSU MO DEWJI NA BARBARA
Kiungo Mshambuliaji kutoka Zambia Clatous Chama amewaaga rasmi Wanasimba, baada ya kukamilisha taratibu za kujiunga na RS Berkane ya Morocco.Chama ametumia kurasa zake za...
PAMOJA NA UWEZO MKUBWA..JOASH ONYANGO NAYE ATEMWA…MAJEMBE HAYA KUCHUKUA NAFASI YAKE
BEKI Joseph Onyango wa Simba hajajumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa Kenya kinachotarajia kucheza mechi za kufuzu fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika...
KMC NA WAO WAMO BWANA… WASHUSHA KIFAA HIKI MATATA KUTOKA MOROCCO
BEKI Nickson Kibabage aliyekuwa akikipiga klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco anatajwa kujiunga na KMC baada ya kumalizana na mabosi zake wa zamani...
PAMOJA NA CORONA, FAMILIA WAITAJA MECHI YA SIMBA VS YANGA CHANZO CHA KIFO MWL...
KIFO ni fumbo. Hutamsoma tena Mwalimu Alex Kashasha kwenye kolamu yake aliyokuwa akiandika kwenye ukurasa wa 12 wa Mwanaspoti kila Jumamosi. Kifo kimemchukua, atazikwa...