YANGA KUSHUSHA NYOTA WENGINE WAWILI WA KIMATAIFA
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba zoezi la usajili bado linaendelea kukamilisha masuala ya usajili.Kwa sasa ikiwa ni dirisha la usajili tayari nyota kadhaa...
MAANDALIZI YA MSIMU UJAO NI MUHIMU ILI KULETA USHINDANI
KUKAMILIKA kwa msimu wa 2020/21 kunaamanisha kwamba ni mwanzo wa msimu mpya wa 2021/22 ambao unatarajiwa kuanza hivi karibuni.Ule mpango mrefu wa Shirikisho la...
VIDEO:NYOTA TISA SIMBA KIKAANGONI, REKODI ZINAWAKATAA
NYOTA 9 wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes wapo kikaangoni ili kuweza kujua hatma yao kwa msimu wa 2021/22 kutokana na rekodi...
BWANA WEE..KUMBE AL AHLY KAMA SIMBA TU KWENYE DILI LA MIQUISSONE..
Hivi karibuni Klabu ya Simba SC Tanzania ilipiga chini karibu ofa tatu za klabu ya Al Ahly wakimuhitaji kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Luis...
REKODI YA SIMON MSUVA BADO INAISHI YANGA
REKODI ya nyota wa zamani wa Yanga mzawa kuwa namba moja kwa utupiaji katika msimu wa 2016/17 imekuwa ngumu kuvunjwa mpaka sasa kwa kuwa...
WAKALA WA KISINDA ‘AMWAGA MBOGA’, AFUNGUKA TIMU ANAYOITAMBUA KUWA INAMILIKI MCHEZAJI WAKE
Meneja wa Kiungo Mshambuliaji kutoka DR Congo Tuisila Kisinda, amekata mzizi wa fitna ndani ya klabu ya Young Africans kuhusu uhalali wa mchezaji huyo.Nestor...
VIDEO:MRITHI WA KISINDA YANGA ANA BALAA, KAMBI YA SIMBA MOROCCO KAMA ULAYA
MRITHI wa Kisinda Yanga ana balaa, Kambi ya Simba Morocco kama Ulaya.
TUCHEL ATAJA SABABU YA KUMPA DILI LUKAKU
KOCHA wa timu ya Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa sababu kubwa ya kuhitaji saini ya Romelu Lukaku ni kupenda kwake kufunga jambo ambalo anaamini...
MANARA ‘ATEMA CHECHE’ KISA KULINGANISHWA NA MSEMAJI MPYA WA SIMBA
Aliyekuwa msemaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC, Haji Sunday Ramadhan Manara, kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu aliyerithi mikoba yake kwa...
YANGA YATUA KWA RASTA WA POLISI TANZANIA
HASSAN Nassoro, nyota aliyekuwa akicheza ndani ya Polisi Tanzania kwa sasa anawasubiri Yanga ili aweze kumalizana nao kwa ajili ya msimu ujao.Mtu wa karibu...