BANDA AINGIA ANGA ZA WANAOLIPWA MKWANJA MREFU BONGO

0
 KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Peter Banda anaigia kwenye rekodi ya nyota wanaokomba mshahara mrefu kwa mwezi kwa wachezaji.Bei yake inatajwa kuwa kwa mwezi anavuta...

WAKATI KISINDA AKISEPA .., YANGA WAAMUA KUSHUSHA KIBERENGE HIKI KINGINE HATARI ZAIDI YAKE

0
KUNA mashine nyingine ambayo punde itatua kwenye ardhi ya Tanzania kama mambo yakienda kama yalivyopangwa.Yanga imemalizana na winga Mkongomani, Ducapel Moloko ambaye ni mbadala...

WAZIR JUNIOR APIGIA HESABU KUWA MFUNGAJI BORA

0
 WAZIR Junior, nyota wa kikosi cha Yanga amesema kuwa hesabu zake kwa msimu ujao wa 2021/22 ni kuwa mfungaji bora ndani ya kikosi hicho.Junior...

KMC YASAINI DILI LA MIAKA MIWILI NA MASITA

0
 KLABU ya Manispaa ya Kinondoni,(KMC FC) leo Agosti 11 imesaini mkataba wa miaka miwili na kampuni ya kusambaza vifaa vya michezo duniani Masita Sports Wear...

NYOTA MWADUI FC AINGIA ANGA ZA NAMUNGO FC

0
 DENISS Richard winga wa kikosi cha Mwadui FC anatajwa kuingia katika rada za Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco.Aliibuka ndani ya Mwadui...

KISINDA NI MCHEZAJI HALALI WA YANGA, MKWANJA WATAGAWANA NA AS MANIEMA

0
 MENEJA wa mchezaji wa Yanga, Tuisila Kisinda anayeitwa Nestori Mutuale amesema Klabu ya RS Berkane ilituma ofa kwa Klabu ya Yanga ili kuipata saini...

KWISHA KAZI…WAMOROCCO WAFANYA KUFURU DAU LA KUMNG’OA CHAMA..SIMBA WAKUBALI KIAINA

0
MAFUNDI wawili wa mpira waliokuwa na chachandu za aina yake kwenye mechi ya watani wa jadi wameng’oka. Gazeti la  Mwanaspoti linameripoti kujua kwamba Yanga...

YANGA: AUCHO HADI BARCELONA WALIMTAKA KUMPA MKATABA, MANARA ANAWACHANGANYA

0
SHABIKI mtata wa Yanga amebainisha kuwa nyota wao mpya Khalid Aucho alikuwa anahitajika na timu ya Barcelona ila GSM walimpandia dau. Pia wameongeza kuwa...

VIDEO: KAMBI YA SIMBA MOROCCO USIPIME, YANGA YAMFICHA BEKI MOROCCO

0
KAMBI ya Simba Morocco usipime, Yanga yamficha beki Morocco, suala la Lionel Messi pia kuibukia PSG.  

VIDEO:MCHAMBUZI WA SIMBA AANAMINI KWAMBA WATAREJEA WAKIWA BORA MSIMU UJAO

0
MCHAMBUZI wa mifumo ndani ya kikosi cha Simba, Culvin Mavunga amesema kuwa wanaamini kupitia pre-season wataimarika zaidi na kurejea kwenye msimu ujao wakiwa imara. Simba...