Tetesi za usajili

NYOTA MWADUI FC AINGIA ANGA ZA NAMUNGO FC

admin August 11, 2021 11:44 am

 


DENISS Richard winga wa kikosi cha Mwadui FC anatajwa kuingia katika rada za Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco.

Aliibuka ndani ya Mwadui FC ambayo imeshuka daraja katika usajili wa dirisha dogo alikuwa akiwaatumikoa Singida United. 

Kwa msimu wa 2020/21 aliweza kufunga mabao mawili na pasi moja ya bao na kumfanya abusive kwenye mabao matatu kati ya 24 ambayo yalifungwa na timu hiyo.

KISINDA NI MCHEZAJI HALALI WA YANGA, MKWANJA WATAGAWANA NA AS MANIEMA KMC YASAINI DILI LA MIAKA MIWILI NA MASITA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply