VIDEO:KAPOMBE ATAJA SABABU YA SIMBA KUFANYA VIZURI, AFUNGUKIA KAMBI YA MOROCCO
BEKI wa Klabu ya Simba, Shomari Kapombe amesema kuwa wanaamini kwamba Mungu akileta kheri msimu ujao watafanya vizuri, kuhusu kilichowafanya wafanye vizuri ni mapambano...
GRANIT BADO YUPOYUPO ARSENAL, ARTETA KASEMA
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa mchezaji wake Granit Xhaka ataendelea kusalia ndani ya kikosi hicho.Xhaka alikuwa anahusishwa kujiunga na AS Roma...
MESSI KUANZA MAISHA MAPYA PSG
STAA Lionel Messi, amekamilisha usajili wake wa miaka miwili ndani ya kikosi cha Paris Saint-Germain, (PSG) baada ya kukamlisha vipimo na kusaini dili la...
YANGA WAMEPANIA AISEE..WAPANGA KUSAJILI BEKI WA MILIONI 700, SIMBA WALIMKIMBIA
YANGA wamerudi nchini DR Congo na sasa wanataka tena kuchukua beki mwingine na sasa matajiri wa GSM wako katika hatua za mwisho kabisa kumleta...
PSG BADO WANAMPIGIA HESABU POGBA
PARIS Saint-Germain bado wanamtazama kwa ukaribu nyota wa Manchester United, Paul Pogba kwa ajili ya kukamilisha usajili wake.Kwa mujibu wa Sky Sports imeeleza kuwa...
AZAM FC KAZINI LEO KAGAME CUP, AZAM COMPLEX
AZAM FC leo itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Big Bullets ya Malawi katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame.Ni...
BIASHARA UNITED YAMALIZA BIASHARA NA MAJEMBE YA KAZI
BIASHARA United wanaopenda kujiita Wanajeshi wa Mpakani wameanza kazi ya kutambulisha majembe mapya kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22.Timu hiyo iliwatema nyota wake...
KMKM WAFUNGASHIWA VIRAGO KAGAME CUP
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Kagame Cup 2021, KMKM safari imewakuta kwa kushindwa kutinga hatua ya fainali.Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, ...
VIDEO: KOCHA SIMBA AWAFUNGUKIA WACHEZAJI WAKE WAPYA
KIKOSI cha Simba jana kilikwea pipa kuelekea Morocco kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu wa 2021/22. Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes...
HUKU AKIWA NA DILI LA KWENDA MOROCCO, HUU HAPA MSIMAMO WA CHRIS MUGALU
WAKATI kukiwa na tetesi za kutakiwa BS Berkane ya Morocco inayonolewa na Kocha Florent Ibenge, straika wa Simba, Chris Mugalu aliyemaliza msimu uliopita na...