kimataifa

GRANIT BADO YUPOYUPO ARSENAL, ARTETA KASEMA

admin August 11, 2021 8:43 am


MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa mchezaji wake Granit Xhaka ataendelea kusalia ndani ya kikosi hicho.

Xhaka alikuwa anahusishwa kujiunga na AS Roma msimu ujao ambayo kwa sasa inanolewa na Kocha Mkuu, Jose Mourinho.

Kiungo huyo mkabaji kwa sasa amesaliwa na misimu miwili ndani ya Arsenal kwa kuwa mkataba wake utameguka msimu wa 2023.

Arteta amesema:”Granit ataendelea kuwa na sisi hapa kwani ni moja ya wachezaji muhimu kwetu,” . 

MESSI KUANZA MAISHA MAPYA PSG VIDEO:KAPOMBE ATAJA SABABU YA SIMBA KUFANYA VIZURI, AFUNGUKIA KAMBI YA MOROCCO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply